Tax invoice number(TIN)

ngony

Senior Member
Feb 7, 2012
153
17
mwenye ujuzi zaidi wa hii naomba anielimishe.naskia kila mtanzania lazima awe nayo!
 
Kweli umeskia mpwa TIN ni Tax Invoice Number?!!!! Wakati mwengine uwe unaskiliza vizuri mpwa
 
Kweli umeskia mpwa TIN ni Tax Invoice Number?!!!! Wakati mwengine uwe unaskiliza vizuri mpwa

haa haa haa mjomba si unajua vichwa vyetu vina mambo mengi,eti kumbukumbu ndo ikaja hvo! Nadhan kw sbb i heard it once!
 
Back
Top Bottom