Usidharau Facebook,ebu soma hii! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usidharau Facebook,ebu soma hii!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Delegate, Feb 22, 2012.

 1. Delegate

  Delegate JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 35
  [h=6]Rosemary Kimaro
  [/h][h=6]Ombi kwa marafiki zangu wote facebook!naomba sana hakikisha una kitambulisho chako cha kupigia kura,kumbuka serikali inaundwa na wewe raia wa tanzania,nawaomba kabisa usikubali kuuza kitambulisho chako kwa mafisadi,jamani hii nchi inatulilia sisi tuweze kuleta mabadiliko,Mungu amekaa mbinguni anatuangalia tutafanyaje,Mungu hawezi kutuma malaika kutuokoa kwenye matatizo yetu,tutajiokoa wenyewe kutumia akili zetu,nipo chini ya miguu yenu naomba tulete mabadiliko ndani ya nchi yetu,tuige wananchi wa zambia walivyofanya,ninalia kwa uchungu kwa uharibifu mkubwa uliofanyiwa nchi yangu,kitambulisho cha kupiga kura ndio silaha yetu,kama huna au umepoteza hakikisha unafata taratibu zote za kuwa na kitambulisho!!Mungu awabariki sana![/h]


   • [​IMG]
    Delete CommentMark as Spam

    Romeo N Juliet natembea nacho kama moyo wangu mafisadi labda wanilishe xumu ndio wataniibia my kitambulisho33 minutes ago · Like


   • [​IMG]


    Malbwai Trashish Thats gud @romeo30 minutes ago · Like · [​IMG] 1


   • [​IMG]


    Mussa Mbwambo Okey sisi wamjini 2mekuelewa sasa je wale wavijijini wasiojuathamaniyake?@rose30 minutes ago · Like


   • [​IMG]Rosemary Kimaro ‎@musa unajua chadema wameanza kutembelea wananchi wa vijijini,tumeona viongozi wengi wameanza kutembea huko29 minutes ago · Like · [​IMG] 1


   • [​IMG]


    MarGreth Marco Misana Cku zote np nacho,kamwe cwez uza mie tn huo u2mbo c utak kbs..Mungu ibrk Tz28 minutes ago · Like · [​IMG] 1


   • [​IMG]Rosemary Kimaro tutaleta mabadiliko sisi wenyewe,ikiwezekana wote wanakuja kutaka kununua vitambulisho vyetu wakamatwe na kuchukuliwa hatua zinazofaa kwa kuwa wanatutakia mabaya27 minutes ago · Like · [​IMG] 1


   • [​IMG]


    Majid Hussen CCM iko juu na itaendelea kuwa juu mwambie baba ako ahamie chadema bure ww malaya wa kiume26 minutes ago · Like
  • 26 minutes ago · Like


  • [​IMG]Rosemary Kimaro nataka kuanza kampeni ya kueleza umuhimu wa vitambulisha,,kitambulisho ndio kinaunda serikali kwa kuwa kama huna kitambulisho huwezi kupiga kura26 minutes ago · Like


  • [​IMG]Rosemary Kimaro kumbukeni ni watu wangapi walishindwa kupiga kura 2010 kwa sababu ya kukosa vitambulisho??
   tusikubali hayo matatizo yatokee tena24 minutes ago · Like


  • [​IMG]


   Bahati Senkana Usihofu pa1 sana kuhakikisha 2naish kama wafalme na co kama 2navyoish ss kama wa2mwa! Mabadiliko muhimu24 minutes ago · Like


  • [​IMG]


   Gande Maharagande Term ya "MUNGU HAWEZI" HUWA SI SAHIHI KUTUMIKA KWA KUWA SIFA YA MUNGU WA KWELI NI KUTOKUSHINDWA. MUNGU NI MUWEZA.23 minutes ago · Like


  • [​IMG]


   Mussa Mbwambo Vijijini niwagumu sana wakuelewa mf kijijini kwangu zahanati ye2 haina hata kipimo cha malaria lakini bado uongoziuliopo niwa chama tawala ukiwambia wafanye mabadiliko wao wana sema ccm ndio iliyo wazaa sasa wa2kama hao tutawasaidiaje@rose23 minutes ago · Like


  • [​IMG]


   Babuu Nchimbi Aisee nadhani unafaham umuhimu wa ngozi yako au mwili wako ndo mana unakula,unapendeza,unahudumia ngozi mwili wako vzuri na hata kwa wale walio na ngoz nyeusi wana renew na kuwa weupe..kama unacho kitambulisho tunza kama unavyo tunza mwili wako.na kama umepoteza ka renew kama mnavyo renew sura zenu...mnisamehe.teh teh teh teh..ha ha ha23 minutes ago · Like


  • [​IMG]


   MarGreth Marco Misana kitamblsho muhm cna jman..ur rght rose.22 minutes ago · Like


  • [​IMG]


   Babuu Nchimbi ‎@rose imenigusa hv kwanini wanarithishana uongoz?wakitoka wao,wanashika watoto ok promo ime anza sasa kwa lz1 kesho kutwa utamuona kwenye wadhifa sitaki kuolozesha wengine...aaaah.Tanzania weeeee7 minutes ago · Like


  • [​IMG]Rosemary Kimaro ‎@babuu angalia arumeru,wanafikiri wakileta yule mtoto wa yule mbunge aliyefariki baada ya kuiba kura ndio watashinda,hicho ni kigezo kinachotumiwa na watu wanafikia mwisho,tutapiga kelele mpaka utawala wa ccm utokomezwe kabisa5 minutes ago · Like


  • [​IMG]


   Lisyele Ambwene Lisyele nimeipenda sana , km Vp bora 2andamane 2vipinge kabisa vitambulisho maana wengi hawana na wanahasira sana na nnchi yao, bora iwe kama zamani balozi na Wa2 wake mbona watakoma!!!!!!!!4 minutes ago · Like


  • [​IMG]Rosemary Kimaro ‎@lisyele,yaani vitambulisho ni jambo la muhimu kuliko hata kampeni za uchaguzi,kwa sababu kuna haja gani ya kupiga kampeni wakati watu hawajajiandikisha??ebu fikiria hapo3 minutes ago · Like


  • [​IMG]


   Jeremy Ndelekwa Siasa maana yake sii hasa sasa wenye elimu tunatakiwa tuitumie elimu yetu kuikomboa nchi na siyo kwenda kupigania posho bila kufanya kazi. Sijawahi kufikiria kitambumbulisho cha kupiga kura lakini nitakitafuta dada Rose3 minutes ago · Like


  • [​IMG]Musa Rama ‎@ab.huwez kufanya kaz na ucie mjua.huu ndio msemo wakiswahl vongoz wanautumia vibayaabout a minute ago · Like

   
 2. Delegate

  Delegate JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 35
  naomba chadema msome hii,mchukueni huyo dada jamani,wapiganaji wanaoneka kwa macho
   
 3. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Mi sijadharau,sijui mwingine...
   
 4. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,007
  Likes Received: 1,138
  Trophy Points: 280
  utamu wa hii Post na hizo Picha wahusika wawe humu JF..hahahaha..wanajisomea vizuri tu..safi sana FB kazeni Buti mtushawishi na sisi kuja huko
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Who is she?
   
 6. Delegate

  Delegate JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 35
  mkuu na wewe utakuwepo hapo
   
 7. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #7
  Feb 22, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Tumekuelewa mkuu, hatutadharau fb.
   
 8. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #8
  Feb 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,060
  Likes Received: 6,509
  Trophy Points: 280
  kwa hilo tupo wengi,
  mkuu na wote tunajua kuwa CHAGUA CHADEMA CHAGUA MAENDELEO

   
 9. I

  IFRS 9 Senior Member

  #9
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umejiandalia thread na kujipa shavu..aha aha aha aha
   
 10. Bambanza jr.

  Bambanza jr. JF-Expert Member

  #10
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu delegate ndo rose kimaro? Wengi waliopo hapa jf wana account fb hata kama hawazi2mii. Nahisi Huyu m2 kaamua kujirusha live!
   
 11. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #11
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  kila kitu mbele kwa mbele.
   
 12. K

  Kayinga junior Senior Member

  #12
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  vitambulisho vyakupigia kura tunze ndani sio kutembea navyo mtapoteza bure
   
 13. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #13
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  mnaruhusa ya kucopy paste mambo ya watu? au weye ndie Rose????
   
Loading...