Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,344
- 7,446
Naomba kuuliza Bado Dr migiro yupo UN au Ban Alimuweka kapuni kipindi hichi cha pili?
Huu muda wa kuweka thread hii unge google na kupata jibu....mambo mengine marahisi sio lazima uandikie thread...kapekue google uko....ebo....Naomba kuuliza Bado Dr migiro yupo UN au Ban Alimuweka kapuni kipindi hichi cha pili?