TANZANIA TRIBAL LAW HII IPO????
A wealthy Nigerian-born, British-based oil baron has been granted permission to use Nigerian tribal law to appeal a $21 million divorce payout to his former...
The female fish weighs around 7,000 kilos, according to experts.
The whale shark was taken out of the channel with the help of two cranes amid rapturous applause by hundreds of onlookers.
I have...
Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) Mkoa wa Ruvuma wakimshikilia mmoja wa vijana waliodaiwa kuandamana kinyume cha sheria mjini Songea kupinga mauaji ya raia.
Damu ya raia imemwagika tena...
Taarifa toka eneo la namanditi (pemben kidogo ya mji wa songea) kuna mtu amechinjwa na kunyofolewa nyeti na ulimi, Mkuu wa mkoa ameelekea uko kushuudia! Polisi na wauaji wanasaidiana kutupunguza...
Wana Jamvi;
Naomba jamani nitoe hiki kilio changu kwani moyo wangu unashindwa kabisa kuvumilia jinsi maisha ya watanzania wenzangu yanavyokatishwa bila sababu na hawa polisi. Ilikuwa Arusha...
Hukumu ya kesi dhidi ya kesi ya uvuvi haramu,almaarufu kama samaki wa Magufuli,imesomwa leo Mahakama Kuu ya Tanzania.Katika hukumu hiyo,Jaji Agustino Mwarija aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo...
Hivi huyu Ngeleja anatufanya WaTZ wote hatuna akili, anazungusha na hasemi asilimia ya madini kwenye pato la Taifa hapo Clouds, eti Madini yanakaribiana na Utalii, mara sijui yanachangia kuendesha...
Hotuba ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha Alipozungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Mafanikio ya Wizara ya Mambo ya Ndani katika kipindi cha Miaka 50 ya Uhuru
Hotuba ya...
Kutokana na vurugu, maandamano na mauaji yaliyotokea jana Wilayani Songea, kuna habari nilizozipata jioni hii ni kwamba Police wanaendelea na msako Wilayani hapo na kusambaratisha aina ya...
hata cku moja nchi haiwezi kuendelea kwa kila jambo kuundiwa tume,ambazo mapendekezo yake hayafanyiwi kazi.!waziri mkuu ameunda tume ya kuchukunguza mgogoro wa ardhi huko shinyanga,na chanzo cha...
wana JF tokea mgomo utokee mpaka sasa Dr 37 wameondoka na nilikua naongea na dr mmoja nae passport kaikamata na kutimiza idadi ya 38.
Source: daktari niliyekua naongea nae hapa uhamiaji ...
wameanza kukata 8% tofauti na makubalianop ya awali ya kurejesha kwa kipindi cha miaka kumi. Mi kwa mfano baada ya kuanza kazi walianza kunikata sh. 17,000 kwa mwezi ili baada ya miaka kumi niwe...
Clouds FM wameanza promotion ya fiesta ya dar leo ikiwa ni siku moja baada ya sugu kupatana na ruge,mkumbuke fiesta ya mwaka jana ili-affectika sana kimapato kwa ajili ya same day sugu walikua...
Swali la kwanza: Wanafunzi kuandika matusi na bongo fleva kwenye mitihani ya kumaliza kidato cha nne
Jibu: Wafungulie mashitaka kwa kutukana na wachunguzwe akili zao..... really??
Swali la pili...
Tangu kuanza kwa harakati hizi za vyma vingi nilijisemea moyoni lazima niongeze uzazi ambao utasaidia mageuzi ya haraka hapa Tanzania, baada ya kuona mafisadi wanapandikiza watoto wao kwenye...
Wakati jana polisi ikijeruhi na kuwaua baadhi raia waliopinga kuuwawa kwa wenzao na kinachosemekana kikundi cha siri toka msumbiji, wananchi wa eneo la mshangano wamemkamata raia m1 wa msumbiji...
Yapata mwezi mmoja tangu tusikie juu ya uvumi wa gawio la bonus lakini haiko wazi na inasemekana tutaichukulia bank. Jee hii ni kwa hifadhi zote au wengine watachukulia dirishani? Na ni kwa nini...