Mabomu yaendelea kurindima Wilayani Songea" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabomu yaendelea kurindima Wilayani Songea"

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bambanza jr., Feb 23, 2012.

 1. Bambanza jr.

  Bambanza jr. JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Taarifa toka eneo la namanditi (pemben kidogo ya mji wa songea) kuna mtu amechinjwa na kunyofolewa nyeti na ulimi, Mkuu wa mkoa ameelekea uko kushuudia! Polisi na wauaji wanasaidiana kutupunguza ukuu....!
   
 2. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Mwambungu na RPC wameshindwa kazi! RPC timka kabla hatujakuchoma moto!
   
 3. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  saa hizi ndo anajifanya kuwajibika?alikua wapi siku zote hizi?
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,375
  Likes Received: 19,620
  Trophy Points: 280
  Bila shaka sitashangaa nikiambiwa kuwa hili ni dili la mkuu wa mkoa na RPC. kwa Tanzania haya yanawezekana kabisa
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Anasubiri wauwawe akashuhudie maiti,! akishashuhudia maiti atairudishia uhai?
   
 6. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,534
  Likes Received: 10,452
  Trophy Points: 280
  si alisema ni wivu wa kimapenzi kwa hiyo ameenda kumtafuta mgoni wa marehem.
   
 7. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #7
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  tz ni zaidi ya ujuavyo!
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Mkuu wa Mkoa Bw Mwambungu alipata kuwa meneja wa bendi ya Vijana Jazz......kumpa ukuu wa mkoa ni dhihaka kubwa wakati wako wengi wenye uwezo wa kuwa ma RC.....Hapa yuko kushoto kwa mwenye shati jeupe......juu ya hayo madole gumba

  [​IMG]
   
 9. papason

  papason JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Wana Songea!

  Mkiwashirikisha sungu sungu anzisheni msako wa pori adi pori, kichaka adi kichaka, guest adi guest, nyuma adi nyumba mpaka muwamalize wauaji wote kwa maana polisi wameshindwa kuwalinda
   
 10. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #10
  Feb 23, 2012
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Naukumbuka wimbo wa Marehemu Mbaraka "Maonyesho Songea yamefana sana MAPOLISI WOTE WALIFURAHI SANA. Naye Mzee Mwambungu alitia fora. Mapolisi wote waliichapa kazi. Bunduki zao walizitumia vema. Watu wanne wakapoteza maisha,,,,,,,,,, oyeeeeeeee!!!!!!!
   
 11. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #11
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Aaaah Nimekukubali kweli wewe BUBU MSEMA OVYO!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  huu Wimbo unafaa

  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 12. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Mkuu tunaomba fuatilia kisha endelea kutujuza................ haya mauaji kama yanaendelea na jana wananchi wameuawa kwa kisingizio cha kuandamana pasipo kibali..............

  ACHENI NISEME....... HATA MKINI........ ACHENI NISEME..... LAZIMA KUNA MKONO WA MKUBWA KATIKA JESHI LA POLISI ANAHUSIKA NA MAUAJI HAYA.....


  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 13. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #13
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Duu hao waliokewa x ni kina nani?
   
 14. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #14
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Nimesema tena na tena..........RPC na RC wa Songea ni maboga!!!
   
 15. Ngalikivembu

  Ngalikivembu JF-Expert Member

  #15
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,908
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180

  Leo alikuwa ametangaza kufanya mkutano na wananchi eneo la bomba mbili lakini ghafla likapita gari la matangazo kuwa mkutano huo umeahirishwa.Sijui intellijensia ilifanya kazi yake.

  Jana waliletwa askari kanzu wengi toka Iringa,Namtumbo na Mbinga ili kuongeza kasi eti.Wapo mjini hapa wengi.Taarifa zinasema polisi waliopo hapa hawatoshi kukabiliana na wananchi.Kazi kweli kweli hasara inayopata serikali hivi sasa ni kutokana na kushindwa kuziba ufa na sasa wanajenga ukuta
   
 16. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #16
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Hao wote ni marehemu
   
 17. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #17
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,534
  Likes Received: 10,452
  Trophy Points: 280
  hao maaskari si wangetumika kutafuta wauaji.
   
 18. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #18
  Feb 23, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Nahisi serikali imeishiwa mbinu za kuwalinda watu wake.
   
 19. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #19
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,134
  Likes Received: 10,485
  Trophy Points: 280
  kaa mkweree wetu mtaalamu wa misiba khaa!!!
   
 20. Fekifeki

  Fekifeki JF-Expert Member

  #20
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,163
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  ndugu zanguni jana walipiga mabomu ya machozi hadi vyumbani kwetu! wakaishiwa mabomu na kuagiza DAR, muda siyo mrefu yaliingia na DEGE kubwa ajabu! leo asubuhi limeingia gari kubwa jipya la majiwasha! yote haya kwa ajili ya kutudhibiti sisi wadai haki! hapa nilipo nimechanganyikiwa na mabomu ya jana! napita njia wakubwa!
   
Loading...