Samaki wa magufuli wataifisha meli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Samaki wa magufuli wataifisha meli

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by VUTA-NKUVUTE, Feb 23, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Hukumu ya kesi dhidi ya kesi ya uvuvi haramu,almaarufu kama samaki wa Magufuli,imesomwa leo Mahakama Kuu ya Tanzania.Katika hukumu hiyo,Jaji Agustino Mwarija aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo aliwakuta na hatia watuhumiwa watatu akiwemo baharia wa meli ya uvuvi iliyokamatwa pamoja na watuhumiwa hao.

  Jaji Mwarija pia ameamuru kutaifishwa kwa meli ya waasia hao kwa manufaa ya umma.Watuhumiwa wawili kati ya watano wameachiwa huru baada ya kukutwa hawana hatia.Ni hayo tu Wakuu..
   
Loading...