Watuhumiwa wa samaki wa ile meli ya Magufuri jela miaka 20 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watuhumiwa wa samaki wa ile meli ya Magufuri jela miaka 20

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by CHAI CHUNGU, Feb 23, 2012.

 1. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,165
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  wale watuhumiwa(wavuvi haramu)wa samaki wa magufuri wamepigwa mvua 20 kila mmoja na wengine2 wameachiwa huru na meli imetahifishwa na serikari!
   
 2. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,884
  Likes Received: 191
  Trophy Points: 160
  Duuuuuu! aisee hao ingekuwa kwao china, mida hii tuko tunachimba makaburi aiseeee! Itakuwaje sasa kwa familia zao na wale wakenya vp?
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,283
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Huyo pilato anastahili kuongoza kesi za EPA, PCCB NA ZILE ZA UCHAGUZI
   
 4. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,165
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Wakenya wameachiwa huru!!
   
 5. Third Eye

  Third Eye JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 323
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  unawafananisha wavuvi na baba mwana asha tehe tehe tehe
   
 6. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,165
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  wenye kuweza kulipa 1bln kila mmoja wataachiwa huru!!!!!otherwise 20!!!!!
   
Loading...