nmb mitambo imekatika hakuna huduma nchi nzima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nmb mitambo imekatika hakuna huduma nchi nzima

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanajamii, Feb 25, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,082
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  mitambo ya mawasiliano na ya Kiufundi ya benki ya Nmb imekatika tangu saa 2.45 asubuhi.hadi sasa hakuna huduma yoyote ni msongamano matawi yote
  nchini...
   
 2. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 17,177
  Likes Received: 7,365
  Trophy Points: 280
  muda mwingine huwa wanakua hawana hela wanasingizia net...
   
 3. s

  sugi JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  mimi nimepata huduma,kama saa tatu hivi asubuhi,hapa moshi
   
 4. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,025
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  ni kweli aisee. naona hapa wamepanga mstari hadi barabarani. pole yao.
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,082
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  watu wanapata tabu kweli.nimeongea na mama mmoja apa anasema ametoka mtwara vijijini km 106 hadi mjini na nauli alikuwa anategemea benk.hajui afanye nini tena.
   
 6. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,082
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  umepiga bao mzee.naomba unirushie mpesa lau chochote nistirike apa.
   
 7. Thomas Odera

  Thomas Odera Verified User

  #7
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 640
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Hamieni Equity bank kwa walio Arusha na kwa mikoa Ya dar na Klm na Mnz hamieni KCB
   
 8. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #8
  Feb 25, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Tembo card wangu saafi kabisa, kitu cha VISA bana!
   
 9. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #9
  Feb 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,103
  Likes Received: 3,867
  Trophy Points: 280
  Polen sana wahanga.
   
 10. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #10
  Feb 25, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,374
  Likes Received: 1,205
  Trophy Points: 280
  Ni kweli hata huku kwetu ilikua ivo, Nmb, Nbc, postal bank, Zanlink, ni TTCL ndio walotukwamisha leo
   
 11. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #11
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,817
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  inawezekana si nchi nzima mkuu-ni baadhi ya matawi
  kuna system mpya wameweka ndo inayowazingua,,ila wanatakiwa wabadilike
   
Loading...