KATATANAMA
Member
- Feb 15, 2012
- 63
- 6
Salaaam.
Hivi kwanini Serikali yetu haiwatumii wanafunzi wa VETA kutengeneza Madawati na samani nyingine za shule zetu mpaka wadogo zetu wanakaa chini? Kweli hata hili tunahitaji wahisani?