Gulf stream jet ya rais...

sikiolakufa

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
411
54
NImeona picha michuzi blog...ile ndege anatumia rais kwenda botswana ndiyo ile iliyopigiwa kelele sana kuwa ni ya dharama kubwa sana? Mbona sioni mvuto wake...ina nini cha ajabu? viti vya dhahabu au nini? Nadhani anastahili kuendelea kuitumia
 
Ur wrong, that wasn't, ile ni Fokker 28... Gulfstream 550 inafaa uione kwanza, so modern & sophisticated, is the most luxurious VIP jet on market now:
 
ni ushauri mzuri.....Gulfstream sio kibatari.......

Walisema Gulfstream inafanyiwa matengenezo Savannah, Georgia. Imesharudi?
 
Wameshindwa kuikomboa na walivyokuwa vilaza hawajui kuwa kadri wanavyochelewa kuikomboa ndio gharama za demmurrage zinazidi kuongezeka halafu wataanza kushangaa wakiletewa bili kubwa!!
 
Gharama zake za matengenezo na gharama zake za muda ambao imekaa huko ni bajeti ya Tanzania ya wizara 4 sasa apo itakombolewa kweli?
?
 
ndege ambayo haitui kwenye air strip za vumbi-inakohoa.
ukitaka kwenda zbr from dar inabidi uruku mpaka KIA ndio urudi Zbr lol!
 
Back
Top Bottom