Mauwaji ya Songea,police 4 sasa mbaroni. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mauwaji ya Songea,police 4 sasa mbaroni.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by CHAI CHUNGU, Feb 24, 2012.

 1. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  kutokana na mauwaji ya juzi Songea police 4 sasa mbaroni kujibu mashitaka ya mauwaji.
  Chanzo:magazeti ya leo asubuhi.
   
 2. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,916
  Likes Received: 2,342
  Trophy Points: 280
  DCI Manumba utamsikia tu atasema Polisi hao walikuwa wanajitetea kutokana na wananchi wenye hasira kali!
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,318
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  hamna lolote hapo zaidi ya kuzuga wananchi wasahau
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Danganya toto hao wauaji wameifadhiwa sebuleni tu kwa usalama wao tu hakuna kesi hapo.
   
 5. Mkulima wa Kuku

  Mkulima wa Kuku JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Bonge la usanii. Si mmemsikia Kamuhanda akiwatetea? Wanafunika kombe mwanaharamu apite kwa sababu wasingeweza kuzuia pressure ya nguvu ya umma. Kinachosumbua ni huu usanii...mtaniambia tu kuwa hao wauaji waliua kwa maagizo ya wakubwa na watakachofaanywa ni kubadilishwa vituo vya kazi.
   
 6. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,318
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  maumivu ya kichwa huanza taratiiibu...wananchi hawana imani tena na chombo hiki cha dola
   
 7. A

  ACID Member

  #7
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau,hebu fikirien upande wa pili,HV ASKARI BUNDUKI AMEPEWA YA NIN?mnataka atulie tu apigwe mawe wakati ana silaha na matumiz yake anayajua....!
   
 8. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #8
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Better read comics,there is nothng new in the media but the news.
   
 9. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #9
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hii ni njia tu ya kutuhadaa wana nchi
   
 10. mwandiga

  mwandiga JF-Expert Member

  #10
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 1,449
  Likes Received: 317
  Trophy Points: 180
  Hapo hakuna kesi kabisa, wale askari 8 wa kasulu walioua mwananchi Rungwe mpya kwa kumwingizia vijiti sehemu ya haja kubwa na kumlaza kwenye gari lao land cruiser na kumwekea magunia ya mkaa huku wananchi na baba yake mzazi akishuhudia, pia wale askari 6 walioua mwananchi kasulu kijiji cha mnyigera kwa kumnyofoa nywele zake (rasta) hadi akafa na maiti yake kukataliwa na wanakijiji hadi mkuu wa wilaya bwana makanga kwenda kuwaomba waipokee hawajafaywa chochote hadi leo. kwanza ilisemekana wamewekwa ndani lakini ukweli ni kwamba walikuwa wanazurura mjini OCD, RPC, kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa na wilaya walikuwa wanajua, juzi tu wamehamishiwa kibondo na kigoma tena kwa kulipwa lakini hapa kigoma sijawaona naona kuna zuio la kuwasubirisha kwanza lilitoka wizarani kesho naenda kasulu nitakuja hapa na updates.
  Sasa kama hawa wameua raia na wakaonekana na wananchi lakini hawakufukuzwa kazi wala kuchukuliwa hatua yeyote hawa wa songea ndo watachukuliwa hatua???
  Ni kawaida ya polisi kuteteana na kubebana hata kama walichofanya ni kinyume na maadili ya jeshi la polisi, Waziri alitakiwa awe ameshajiuzulu kwa hii aibu, kazi ya polisi ni kulinda mali na usalama wa raia leo wanaua tena makusudi, vipolisi vyenyewe unavikuta na viroba huku vimebeba bunduki maadili gani haya? vuai nahodha ukiingia hapa soma na uone aibu na kama unataka picha nitaweka hapa,
   
 11. mwandiga

  mwandiga JF-Expert Member

  #11
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 1,449
  Likes Received: 317
  Trophy Points: 180
  Mawazo yako haya ya facebook yapeleke huko huko facebook. G. thinker hawezi kutoa mawazo ya kipuuzi na ya kitoto kama haya. kwa hiyo baba na mama na ndugu zako wakiuliwa na polisi utafurahi sana! hata kama wewe ni polisi ipo siku huu ****** mnaoufanya utawatokea puani, endeleeni kuua nguvu ya umma itawapa fundisho siku moja, labda muishi dunia ya polisi tu usihitaji huduma wala kuishi uraiani
   
 12. peoples power

  peoples power JF-Expert Member

  #12
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 468
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  hilo unalosema sĂ­dhani kama angekufa ndugu yako ungelitamka,fikilia kabla ya kusema mzee waliokufa ni watu kama baba yako.
   
 13. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #13
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Wewe mwenzetu ni mtanzania kweli wewe???
  Nina wasiwasi na uraia wako.
  Maana sisi wa-tz hatuna mawazo ya kibwege kama uliyonayo wewe!
  Mbwa koko,
   
 14. A

  ACID Member

  #14
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sis tunajua kamwe hamtupendi...lakin hyo ndio hali HAlisi,!kipo kifungu cha sheria kinachompa askar mamlaka ya kutumia silaha yake..! G.Thinker fikiria kama ni wew ndio askari...na umepewa silaha then unapigwa mawe na kundi la watu wenye jazba!
   
 15. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #15
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Wewe ni askari???mbona sasa unakua mjinga mjinga???
  So r u a policemen right???why r u foolishness????
  Nimekua askari kwa 6yrs pale jwtz"BUHEMBA-MUSOMA-MARA"kabla ya kuacha na kwenda kuwa askari wa wanyama poli"ANTPORCHING"but sikuwahi kukutana na askari mjinga kama wewe.Tena wewe ni mpumbavu kabisa,we koplo nini?????????
  Huwezi kuwa mlinzi wa jamuhuri kwa akili ya kibwege namna hiyo.
  Mbona mm nakaa mbugani some times ata 3months but siwezi hata kumchapa sungura kwa risasi na badala yake natengeneza mitego ya kutanzi tuu???leo iweje nimchape m-tz bila hatia???
  Ok fine,najua unataka kuanzisha beef na wana jf,sasa kabla hawajaja na ili tukuamini kama kweli wewe ni afande ebu jb maswali haya.
  1.ulicheza depo mwaka gani na wapi na ukamaliza mwezi wa ngapi na kupitia jeshi gani?????
  2.ile sehemu inakokaa risasi tayari kwa kutoka kupitia kwenye mtutu inaitwaje kwa lugha ya kijeshi???
  3.Magazine ya mmg inabeba risasi ngapi???
  4.nini maana ya single file?????
  Funguka hapa.
   
 16. A

  ACID Member

  #16
  Feb 25, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na uchaguz wa 2015...tutawamwaga wengi kwa ujinga wao na upumbafu wetu!! Niachen na ujinga wangu! Kwa taarifa yako mim ndio kamanda msaidiz wa kikosi cha F.F.U songea!!
   
 17. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #17
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,999
  Likes Received: 2,655
  Trophy Points: 280
  Huyo DCI ni janga la Songea me napendekeza ajiuzuru ni mtu wa hovyo sana huyo.
   
 18. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #18
  Feb 25, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  hakuna askari tena....tangu lini askari akavaa mlegezo?
  hawana hata maadili.....hawana ubinadamu... ni maroboti
  yaliyokuwa programmed... hayatumii common sense.
   
Loading...