kwa nini tbc mnatufinyanga

Msitegemee hata siku moja mkatangaziwa kitu kama hicho, mtaishia kusoma humu jf na kwenye magazi baadhi kesho yake
 
hakika leo TBC nimewashangaa wangeonesha za \tunduma lakini wakaonesha za sumbawanga
 
nimeikosa hiyo.... japokuwa nimesikia askari walifanya kazi ya
ziada kushusha bendera za cdm usiku kutwa kwani kesho yake
mzee bilal alikuwa na mkutano hapo tunduma
 
Back
Top Bottom