Ni Kiongozi Gani Hutamsahau Maishani Mwako? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni Kiongozi Gani Hutamsahau Maishani Mwako?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Amavubi, Feb 25, 2012.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,752
  Trophy Points: 280
  Moja ya sifa kubwa aliyonayp binadamu ni utashi na mojawapo ya sifa ya utashi ni tafakuri na uamuzi....je katika historia ya maisha yako kiongozi gani hutamsahau (kwa mema au mabaya)?na kwa nini?
   
 2. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Kwa Tanzania, Afrika, au dunia nzima kwa ujumla?
   
 3. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,752
  Trophy Points: 280
  Kwa DUNIA NZIMA
   
 4. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,350
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Baba na Mamaangu kamwe siwezi kuwasahau wamenipa muuongozo mzuri na sasa naishi na watu vzr,
   
 5. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kiongozi ambaye sitamsahau hajazaliwa. Otherwise ni mimi mwenyewe imezidi imepungua. Kama ni kiongozi binafsi bali ni wazazi wangu na anayefuatia ni mimi.
   
 6. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Jakaya Kikwete. kwa namna ameigeuza hii nchi nadhani atakua referece for future viongozi. Reference of good governance or worse? Mi chichemi
   
 7. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #7
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,752
  Trophy Points: 280
  Unamkumbuka mzee wa Kiko? Sebastian Rweikiza Kinyondo...............Jina na Kiko masaa 24 mdomoni
   
 8. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #8
  Feb 25, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kwa mema SOKOINE kwa mabaya SUGU
   
 9. D

  DOMA JF-Expert Member

  #9
  Feb 25, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Dr slaa
   
 10. rweyy

  rweyy Senior Member

  #10
  Feb 25, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  sitamusahau waziri wa mambo ya ndani na naibu waziri mkuu Augustin Mrema Tanzania ingepata mawaziri watano kama huyo leo tusingekuwa na kitu kama rushwa.madawa ya kulevya na vitu feki
   
 11. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #11
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,931
  Likes Received: 1,465
  Trophy Points: 280
  kwa mema sokoine kwa ubaya uliopitiza baba mwanaasha na cabinet yake karibu yote
   
 12. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #12
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Sina kiongozi wa kumkumbuka wote failure!
   
 13. m

  moshingi JF-Expert Member

  #13
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Julius Kambarage Nyerere,
  1.Wakati wake hapakuwa na matabaka makubwa ya walionacho na wasionacho...
  tuliosoma miaka ya 70 hadi mwanzoni mwa 90 mtakumbuka shule za Milambo, Tabora, Bwiru, Mawenzi, Mazengo,
  Ilboru na nyinginezo tulisoma kwa pamoja watoto wa matajiri na wa masikini, tulifanywa kuwa wamoja, hatukujali makabila yetu wala dini zetu wala vipato vya wazazi wetu bali uwezo wa mwanafunzi darasani ndio uliamua nani bora zaidi...
  2. Ni mwalimu wa ukweli, kwangu mimi ni zaidi ya maprofesa tulionao sasa, aliandika vitabu vingi sana akiwa madarakani
  ili kuwaelimisha sio tu Watanzania bali ulimwengu mzima...vitabu vyake vinatumika kama rejea katika vyuo vikuu mbalimbali duniani...kazi ya urais ni ngumu na ya ubize mwingi lakini aliweza kuandika vitabu, mfano wake hakuna...
   
 14. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #14
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mwalimu Nyerere,Sokoine,Lowassa.The best leaders ever in TZ.
   
 15. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #15
  Feb 25, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Kanali gadafi...kwa mema aliyoifanyia afrika.
   
 16. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #16
  Feb 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,091
  Likes Received: 6,557
  Trophy Points: 280
  Baba mwanaasha.
   
 17. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #17
  Feb 25, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Bush kwa kuwa na misimamo, na kunitwangia warabu popote walipo
   
 18. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #18
  Feb 25, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Yule aliye tubinafsishia kila kitu Tanzania sita msahau kamwe
   
 19. papason

  papason JF-Expert Member

  #19
  Feb 25, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  1. Che Guevara, V.I Lenin, Adolf Hitler, Pol Pot


  2. Alphonce Capone, Boris Yelstin, Khu Sa, Marcus Garvey
   
 20. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #20
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Nawashukuru wazazi wangu kwa mafanikio mema,sasa naishi na watu vizuri sasa naishi na watu vizuri ayeeeeee!!
   
Loading...