Mama Mzazi wa Blandina Nyoni kuzikwa leo Iringa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mama Mzazi wa Blandina Nyoni kuzikwa leo Iringa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kabila01, Feb 25, 2012.

 1. kabila01

  kabila01 JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 3,015
  Likes Received: 1,828
  Trophy Points: 280
  nipo nyumbani hapa mitaa ya Wilolesi manispaa ya Iringa kwenye msiba wa Mama Mzazi wa aliyekua katibu mkuu wa Wizara ya Afya
   
 2. S

  Samsindima Member

  #2
  Feb 25, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Poleni sana kwa msiba. Ila ninavyokufahamu kwa misosi nadhani kuondoka hapo sio leo.
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  sasa sisi tufanyeje??mwambie mponda.
   
 4. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Dhambi ya kuwanyanyasa wafanyakazi wenzie pamoja na vifo vilivyotokea wakati wa mgomo wa madaktari, aliokuwa ameusababisha yeye ndo vinamtafuna.
   
 5. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Vipi ile kampuni yake ya Catering imeshinda pia tenda ya kuhudumia huo msiba?!

  RIP Mama Blandina Nyoni
   
 6. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Jamani thread nyingine, pole yake but do we really need to know.
   
 7. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #7
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 997
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 60
  Hee hajazikwa tuu?? RIP mama!
   
 8. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #8
  Feb 25, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Kwa taarifa tu, Blandina Badi Nyoni bado ni katibu mkuu wa wizara ya Afya kutokana na taratibu na sheria za kazi serikalini; yeye amesimamishwa ,hajafukuzwa!! Mama yake Blandina atazikwa kijijini kwao Ilembula mkoa wa Njombe na sio Iringa!! R.I.P wa NYIMBO.
   
 9. O

  Omumura JF-Expert Member

  #9
  Feb 25, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kampuni yake ya catering ndo inahudumia..!
   
 10. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #10
  Feb 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Bwana alitoa, na bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe! Nawapa pole familia na wote. Apumzike kwa amani
   
 11. BINARY NO

  BINARY NO JF-Expert Member

  #11
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,782
  Likes Received: 591
  Trophy Points: 280
  JK atamiss huu msiba kweli?
   
Loading...