Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimekuwa nikufuatilia kwa ukaribu sana sanaaa taarifa zetu za habari hapa nyumbani tz,Kenya na hata Uganda lakini nika note kitu kwamba kuna mapungufu makubwa sana katika uwasilishaji nikajua ni...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Sisi wakazi wa kijiji cha kichangani kata ya maweni wilaya Tanga mkoa Wa Tanga jumamosi hii tarehe 3/3/2012 saa 9 alasiri kutakua na mkutano wa wanakijiji wote na tunatarajia kufanya maamuzi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Paka maaurufu kwa jina la hank kugombea usenator marekani source: http://www.hankforsenate.com
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakubwa wa tamisemi njoni tanga muone mwenyekiti miaka 2 bila mkutano kichangani tunarudi nyuma tusaidieni wakubwa wasikie
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu course ya data analysis imeanza kufundishwa ucc mbezi beach branch tar 27 feb jana. 1.course ni wiki tano(5) 2.jumatatu hadi ijumaa saa 12:00jioni hadi saa 2:00 usiku 3.mahali ni ucc...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Vodacom Ubungo Plaza mbona wamelala? Nilikuwa na shida ya M-Pesa nikamkuta mwanamke mmoja mweupe mnene kavaa miwami ananijibu kama hataki. Kwanini uliomba kazi vodacom? Ndiyo tatizo la...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kuna habari kuwa pilisi kanda ya ziwa wamewaomba watanzania kumwombea mwenzao aliyeumizwa na raia, My take. Polisi kupigwa na raia si sawa ila polisi kuuwa raia tena wasio na kosa ni haki na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Gimme the weed wa Buju banton enzi zile za beach party coco na bottle party kuvuta kwa saaanaaaa!!!pembeni dj bonny luv
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kesho ni siku ya pekee kabisa ktk mwaka huu,kwani siku hiyo haitajirudia tena hadi baada ya miaka minne ipite kesho ni 29/02/2012 hiyo tarehe 29 ndio tarehe ya mwisho wa mwezi pekee ktk mwezi wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni kawaida unapokuwa Mbeya kusikia mtu au watu wamepigwa nondo kichwani na majambazi na kuporwa mali. Na wakati mwingine matukio hayo hutokea hata jirani na police. Mwaka jana tukio moja...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mtu mmoja haofiwa kufa baada ya pick up double cabin moja yenye namba za usajili T135AKC mali yaSalehe H Salehe kuligonga daladala lenye namba T115 BGJ aina ya NISSAN mali ya M.A.Mfanga inayofanya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna mayai feki yanaoingizwa kutoka Nairobi na kuuzwa kwa Tray moja 4,000 (elfu nne) kariakoo na gongo la mboto. mayai ni mepesi saana na madogo. MAYAI YNA KIINI CHEUPE NA KITU KAMA UZI MWEKUNDU...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anna Makinda nahisi amechanganyikiwa baada ya kupewa kazi hiyo ya uspika inayoonekana wazi kumshinda. Sasa amebaki tu kuropoka na kukurupuka...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wednesday, February 15, 2012 UNAFIKI HUU WA WANASIASA WETU HADI LINI BY BARNABA BUKHU. Mwaka 2008, baada ya kuibuka kwa kashfa ya kampuni hewa ya richmond, watanzania tuliamini kuwa...
0 Reactions
0 Replies
938 Views
Watu nane wanahofiwa kufa kwenye ajali iliyohusisha Fuso, DCM na Hiace. Imetokea maeneo ya Mtongani leo asubuhi.
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Dk. Asser Mchomvu wa Hospitali ya Mission Mikocheni jijini Dar es Salaam, akifafanua jambo kwa kutumia mchoro kuhusu mfumo wa uzazi juzi baada ya kufanikiwa kufanya operesheni na kukitoa...
0 Reactions
28 Replies
9K Views
Ikiwa imebakia takribani miaka mitatu kujichukulia kilicho chao , wapo wabunge wengi waliojifanya kushindana na mkuu wa kaya kwa kutaja orodha ndefu na ahadi hewa/feki , mpaka leo hawajazitekeleza...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Mwaka 2012 unachagua nini aisee?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wapendwa Watanzania, hasa Wataalamu wa sekta ya Ardhi: Town Planners, Surveyors, Land Officers, Valuers, Estate Agents. Mbona tumekaa kimya wakati Ardhi Yetu Tanzania inaumia na kuumizwa? Ardhi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wapendwa salamu! Familia ya Dr Estelatus Mtema inapenda kuwakaribisha ndugu jamaa na marafiki zetu wote kwenye kumaliza msiba (arobaini) ya mpendwa wetu Mh Regia Estelatus Mtema itakayofanyika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…