Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna wadau wako eneo la tukio wanasema basi la kampuni ya Zakaria lilikuwa linatokea Mwanza kwenda MUsoma limechinja na kuua watu na majeruhi kibao baada ya kugongana na mchomoko (Noah).
0 Reactions
18 Replies
4K Views
jaman karibuni Songea mjini, japo ntakuwepo kwa miez miwili lakini nawakaribisha sana.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ameyasema hayo wakati akimtangaza mgombea ubunge jimbo la Arumeru Mas. Katika press conference hiyo,amewathibitishia waandishi na Watanzania kwa ujumla kuwa PhD yake si ya kughushi... Akaonesha...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kesho asubuhi kuanzia saa 12.30 nitakuwa kwenye Kipindi cha Kumekucha cha ITV nikizungumzia hoja zangu binafsi za mkakati wa kujenga nyumba na kuwauzia wafanyakazi kwa dhamana za michango...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Damage, which may not be fixed for three weeks, caused 20% slowdown in countries including Kenya, Rwanda and Ethiopia David Smith in Johannesburg guardian.co.uk, Tuesday 28 February 2012 08.07...
0 Reactions
0 Replies
970 Views
'' Kwa hali ilivyo sasa hasa kwa wa-tz walio wengi vijana....tukitoa portion inayohifadhi masuala ya elimu ya darasani na kumuacha aishi, wengi watakua vichaa kama sio watakufa mapema maana wengi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WanaJF, poleni na majukumu ya kulijenga taifa letu changa na masikini. Tujikumbushe tu, najua wengi tunafahamu na mengi yameshasemwa sana hapa jamvini namna ambavyo chama tawala wanavyoiba kura na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mwanahalisi mnachemsha, kitu kidogo kama hiki mnashindwa kukithibitisha? mara watoto wa Jk mara ni mke wa Ridhiwani, kipi ni kipi? Ridhiwani Kikwete mdaiwa sugu Na Mwandishi wetu - Imechapwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
baada ya chuo kufunguliwa na wanafunzi kushindwa kuja chuo ikidhaniwa wamekosa nauli au wanaogopa kula mawe chuo hakina wabafunzi kabisa hii imepelekea leo VC kuitisha meeting wafanyejeeee my...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
msaada wakuu naomba mnielekeze kwa watu wanaouza plane tshirt kwa jumla,kama mtu yeyote anawafaham naomba ani pm
0 Reactions
0 Replies
745 Views
Nchi yetu ipo kama mji usio na baba vile,Inasikitisha sana kuona mji wa tanzania umekosa baba mwenye kujisimamia.Kila msaidizi wake anakuwa na ndimi zinazokinzana na mwingine,mara nyingi baba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Basi la MURO TRANS, linalofanya safari za MWANZA-DAR, alfajiri ya leo, likiwa linaelekea DSM, liliacha njia na kupinduka eneo la mkolani kwa DANCUN. Watu 25 wamejeruhiwa, 6 kati yao hali zao ni...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Mimi Ni mgombea nafasi ya ukilanja mkuu(headprefect) shule moja hivi pande za tabora.nahitaji mawazo yenu yachangamke kunipatia slogans niwezazo kutumia ili nishinde.tayari nimebuni bahadhi ila...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
kalenda zaidi ya laki 7 za TWAWEZA zimekamatwa na polisi wa Uganda katika mpaka wa Tanzania na Uganda mtukula zikiwa zinaingia Uganda. kisa cha kukamatwa ni kwamba zina maneno ya uchochezi. Hizo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kufuatia kauli tata ndani ya jeshi la polisi Tanzania nimeingiwa na wasiwasi sana na dhana halisi ya cheo cha D.C.I. Mr. Manumba anaonekana bila kificho kuitumikia siasa na si kufanya kazi kama...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeunganishwa na vijihuduma vingi sana vya vodacom either kwa kujua au kwa kutojua na kwasasa nakatwa hela nyingi kwa huduma hizo. Simu inapobaki na shs 250 naambiwa sina salio la kutosha kupiga...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika kozi mojawapo kwenye chuo fulani kuna makabrasha kadhaa ya kihistoria yanayodai kuwa biashara ya kilevi ilikuwa na faida kubwa sana toka enzi za ukoloni. Mataifa ya Ulaya yalikataa katakata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Madaktari hapa wilayani Mafia wameingia kwenye mgomo mpya kuanzia leo asubuhi. "Total tools down" hiyo inaendelea hadi mda huu na kuathiri huduma za afya kwa wagonjwa ambao wanategemea kupata...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
naomba tutafakari namna shirika la tanesco linavyoendesha wateja wake kienyeji bila kuwaheshimu.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba mwenye taarifa za ndani zaidi anifahamishe kwani sielewi mwenendo wa Kampuni Komgwe ya mawasiliano nchini (TTCL), nimesitushwa na kuona kwamba maeneo mengi yanayopata huduma ya simu za...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…