tusiwanyooshee kidole madaktari, kodi zetu zinakwenda serikalini ivyo serikali ndo iwajibike | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tusiwanyooshee kidole madaktari, kodi zetu zinakwenda serikalini ivyo serikali ndo iwajibike

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by paty, Mar 7, 2012.

 1. paty

  paty JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  kila mtu anahaki ya kugoma na kuandamana.
  Madaktari mmetisha. Ila anaeumia ni sisi maskini.
  kimsingi Madaktar wapo sahihi kwani serikali imeonyesha kutokujali makubaliano.

  Nadhani umefika wakat wa sis wananch kudai haki yetu.

  Tunahaki ya kupewa huduma za afya. Kwan tunatoa kodi.
  Huduma za afya hatutadai kwa madaktar kwani wao hawapokei kodi zetu.
  Wananchi muda umefika tuamke . Tupigane haki ya msingi.
  420589_277832055619839_139188202817559_599851_1340565932_n.jpg tutaendelea kuzulumiwa mpaka lini watanzania wenzangu ?? New Picture.png
   
 2. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Well, uko sahihi. kama ni "sisi serikali kuifanyia nn",,tuneshafanya sana kwa kulipa kodi lukuki,na mengineyo!
   
 3. mchadema

  mchadema JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  aise we ni great thnker for really. Hawa vilaza wanaowapigia kelele madaktari natamani kama wangepitia hii busara uliyoiweka hapa.
   
 4. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Unafikiri hao wanaowapigia kelele madaktari uwa ni waelewa ilo mkuu?uwa ni vichwa mawe mno
   
 5. s

  sugi JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  kweli wanacheza na kodi zeru hawa,maana wengine hiyo muhimbili ndo India yetu ati,ohoooo!kama vp,vp tuuu
   
Loading...