Facebook & Twitter: silaha kuu za madaktari

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Nadhani wengi mmeona facebook za mgomo wa madaktari na twitter zinavyovyurumushwa kila sekunde

hivi kwa serikali ambayo bado inategemea kutoa habari kupitia michuzi blog na gazeti la uhuru inawaweza kweli hawa jamaa?

Naona mpaka New York Times wanapata news za mgomo wa madaktari kupitia twitter na facebook in real time

halafu wanashangaa inawezekana vipi hawa jamaa wanaweza kujimobilize in few minutes na kupeana taarifa wakutane wapi na ajenda ni zipi

Haya ndio madhara ya kuongozwa na watu walio na miaka 60 wakati asilimia 70 ya raia wa Tanzania wako chini ya miaka 30 na cha ajabu mtoto aliyezaliwa juzi in 1990 anaweza kupiga kura na anajua kinachoendelea kwenye ulimwengu wa Twitter na Facebok

Kazi kwako bwana Pinda hata sijui hii info warfare utapigana nayo kwa mbinu za enzi za mwalimu au utaungana na ma daktari humo kwenye twitter.

Mbaya zaidi na Mainstream Media yetu nao wako bado enzi za 1970's kimitazamo na kila kitu
 
Ajabu ni pale selika inapo panga kutumia polisi kuwazuia wasikutane! They must re-think!
 
Back
Top Bottom