Lol, Mishahara Hadi Leo Hatujapata | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lol, Mishahara Hadi Leo Hatujapata

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ibange, Mar 6, 2012.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kuna wakati tulijadili hapa kwamba serikali imefilisika, ukweli au si ukweli si hoja, lakini huwezi kuamini mimi ni mfanyakazi wa serikali hadi leo tarehe 6 mshahara haujaingia. Serikali ya JK afadhali hata Mwinyi. Mwinyi alikuwa anachelewesha ila tarehe 6 bila mshahara ni record mpya kuvunjwa. 2015 itafika kweli kwa uongozi huu dhaifu? Tusubiri tuone
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Wewe unafanyia serikali gani mbona watumishi wote wa serikali wameshapata mishahara na hata wale ninaowadai dukani kwangu wameshanilipa?
   
 3. Rock City

  Rock City JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,270
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nijuavyo mishahara imeingia tangu jumamosi, labda benki zenu zileeee
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,270
  Likes Received: 19,413
  Trophy Points: 280
  mkapa alikuwa anachelewesha mishahara?
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Unafanya kazi taasisi gani ya serikali?? Usikute unamadeni kibao benk wamekata hela yao,ebu chukua bank statement kwanza!!!
   
 6. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Wewe utakuwa mwalimu tarehe 36? maana ndiyo tarehe zao.
   
 7. Dr. Wansegamila

  Dr. Wansegamila JF-Expert Member

  #7
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 1,232
  Likes Received: 817
  Trophy Points: 280
  wajinga ndo waliwao................. nyie endeleeni kulalamika JF, wenzenu wakigoma mnawaita magaidi..... uoga wenu ndio mtaji wao, na safari hii mpaka tarehe 20 ndo mtalipwa si unajua kuna uchaguzi arumeru??
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Mar 6, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  poleni...........
   
 9. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kuna uchelewesho wa mishahara kwa wafanyakazi wa serikali. Lakini hii ni awamu kwa awamu. Mwezi huu ni zamu yenu. Sisi ilikuwa januari. March wengine wajiandae.
   
 10. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #10
  Mar 6, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,055
  Likes Received: 6,495
  Trophy Points: 280
  najua imeingia toka ijumaa ya juma lililokwisha.
   
 11. M

  Mchokozi JF-Expert Member

  #11
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  :flypig:Fedha zote zinatumika kwenye safari za JK ni lazima tulipwe kwa awamu................. kabla ya mwezi huu kwisha utasikia ameondoka nchini kuelekea...................!!!!!!!!!!! Vumilieni tuuu kwani 2015 siyo mbali sana sana:lol:
   
Loading...