Aliesoma na dk ndalichako wa necta ajitokeze, Ninawasiwasi na phd hii alivyioipata | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aliesoma na dk ndalichako wa necta ajitokeze, Ninawasiwasi na phd hii alivyioipata

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by thatha, Mar 4, 2012.

 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  sijawahi kuona matokeo ya kushangaza ya mtihani wa taifa yakitolowa kama ilivyotokea haya ya 2011 hapa Tanzania ,nimetembelea nchi nyingi na pia kusikiliza vyombo vingi vya habari vya kimatifa lakini sijasikia popote pale baraza la mitihani lilitumia mkokoto wake kupata matokeo ya mtihani wa taifa kama ulivyotumika 2011.
  nimesoma darasa la kwanza hadi kumaliza masomo yangu ya juu, sijabahatika kuona Chuo au taasisi yoyote nchini imetoa matokeo ya mtihani kama ilivyofanya NECTA 2011
  , Wanafunzi 52 wa chumba kimoja wanafutiwa matokeo na anabaki mmoja!, wanafunzi 150 wa shule moja wanafutiwa wanabaki 10 tena hao waaliobaki wanaambulia daraja la nne!,shule moja inafutiwa, shule ya jirani haiguswi hata kidogo?
  Nchi kama Nigeria yenye wizi wa Mitihani duniani haijwahi kufikia baraza la Mitihani la Taifa likitoa matokeo ya Ajabu kama haya ya Ndalichako Upande wa Zanzibar.
  Mwanafunzi aliefanya art anapewa d na F za sayansi.
  Mwanafunzi aliefanya mtihani wa Chem na kuacha historia analetewa F ya historia. Hili ndilo Baraza la Ndalichako.


  kuna Phd nyingi feki hapa Tz.
  Inawezekana moja ni ya huyu mama .
  Kama ni halali basi inawezekana kumepita jambo fulani kati ya msimamizi wake na phd yake.
  1) Ni mmoja ya wasomi waliopoteza dira. anahiari kuangamiza taifa kwa manufaa yake. hataki tena malumbano na wanaharakati kwamba mitihani inavujishwa na NECTA.
  2)Sijabahatika kuona au kusikia matokeo ya mtihani popte ulimwengu kama inavyotka Tanzania chini ya mama huyu
  50 kati ya 51 wanafutiwa matokeo?


  NANI ALIESOMA NAE TUUJUE UKWELI WA HUYU MAMA?
   
 2. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  mmh!

  haya mpendwa, imeishaingia kwenye statistics za JF kama thread mojawapo kuwahi kupostiwa hapa

  ubarikiwe
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Haya maandishi ya Hajjat Malaria Sugu! PhD ya huyu mama ni ya nguvu kuliko ya Dr Shein
   
 4. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  DR. SHEIN...... looooh, siyo ya DR. JK??
   
 5. t

  thatha JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Inawezekana walisoma darasa moja na dk Slaa, na phd yake ni catholic law?
   
 6. bullet

  bullet JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 959
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Tusimuonee dr. Ndalichako. Amesoma na kuhitimu. Na kabla ya kuteuliwa hapo necta alikuwa mhadhiri UDSM.
  Nafikiri necta si kazi yao kuengeneza mitaala, wao wana administer mitihani. Tatizo lipo kwa watengeneza mitaala na wanafunzi wenyewe! Hata ufundishaji katika baadhi ya shule unatiliwa shaka sababu ya mazingira mabovu. Mzigo wa kufeli kwa vijana wetu asisingiziwe Dr. Ndalichako
   
 7. t

  thatha JF-Expert Member

  #7
  Mar 4, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  kumbe sawa na hawa madokta Bana? lkn maada hukuifahamu. tatizo matokeo ya kidato cha nne kufutiwa hili ndio ninawasiwasi na Phd ya huyu mama
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Mar 4, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nahoji PhD ya Dr Shein.....ama naye ni ya heshima?
   
 9. t

  thatha JF-Expert Member

  #9
  Mar 4, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  kama ulikuwa mwanafunzi wa ndalichako umekwisha. Maana hata topic hukusoma. Unarukia tu
   
 10. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #10
  Mar 4, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Mkuu kwa taarifa yako Dr Ndalichako ndiye mtaalamu pekee wa mambo ya Measurement and evaluation hapa nchini. Ndiye pekee mwenye PhD iliyospecialize kwenye mambo hayo ya mitihani. Sina wasiwasi wala sijawahi kupata wasiwasi juu ya elimu ya Ndalichako kwa kuwa namjua kwamba ni mmoja ya wanawake wenye uwezo wa juu sana. Na PhD yake si ya nusunusu kama nyingi mnazozijua.
  Kuhusu kufutiwa matokeo wanafunzi 50 wa darasa moja halafu mmoja anabaki, inaweza kutokea kwamba huyu mmoja alikuwa ni mlokole,alikataa kupokea majibu kutoka kwa walimu wake.
  Jambo zuri ni kwamba Dr. Ndalichako amekuwa akitoa ushahidi kila mara anapohitajika kufanya hivyo, kupitia vyombo vya habari na mahali pengine juu ya ukweli wa matokeo hayo. Watu wa Zanzibar mmezoea kuiba mitihani ndiyo maana matokeo ya mwaka huu yamewachanganya sana.
   
 11. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #11
  Mar 4, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 846
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  kiziwi kama unachuki binafsi na ndalichako acha mara moja huyu ameweza kwa kiasi kikubwa kudhibiti vyeti bandia hebu fuatilia walimu wengi walioingia be4 ndalichako wengi wameingia kwa vyeti bandiag after ndalichako wengi wakifika vyuon vyet vinapelekwa baraza kwa uhakiki. Ona sasa mwaka huu darasa la 7 wanafanya mtihani kwa kutumia omr mfumo ambao ni mzuri kama hautapelekwa kisiasa huu mfumo utapunguza kwa kiasi kikubwa kuvujisha mitihani hususan kwa wale walimu wanaowafanyia wanafunzi wao. Kwa hiyo usione ajabu darasa zima kufutiwa matokeo kwa sababu majibu walinakiri aliyosolve mwalimu wao . tumeyaona haya.
   
 12. t

  thatha JF-Expert Member

  #12
  Mar 4, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Niwajiavyo wabongo hata sindano ya sh 10 wakipata nafasi huiba. sasa unaponiambia wabongo sio wezi wa mitihani hata mtoto mchanga hakubali. mbongo kama anavunja BANK kwa ajili ya sh 1000 ashindwe kuiba mtihani?Mtihani uvuje Zenj usifike Mbeya? duh hii kali ya MWAKA.
  Ndalichako anpendeza machoni labda kwa div 1 za seminary. akiondoka nazo hana tena nafasi na mapenzi juu yenu. full stop
   
 13. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #13
  Mar 4, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  hongera kwa thread
   
 14. thereitis

  thereitis JF-Expert Member

  #14
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 297
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Acheni kulalama. Himizeni watoto wenu kujifunza kwa bidii. Mgomo baridi wa walimu umelizwe pia kwa kuwalipa mshahara utakaowawezesha kuishi na kufanya shughuli za maendeleo. Bila kutekeleza hayo matokeo yataendelea kuwa mabaya
   
 15. t

  thatha JF-Expert Member

  #15
  Mar 4, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  hivi kwanini std 7 waliachiwa huru?
   
 16. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #16
  Mar 4, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  umeongeza idadi ya post. Hongera
   
 17. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #17
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Dr. Shein ana PhD ya nini? kuwa makini wewe, Dr. Shein ni daktari wa binaadam (scientist) na si PhD ya udaktari wa kupewa, feki, kama wa huyo mama.
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Mar 4, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  nahoji PhD ya mama Nagu

  alinunua
   
 19. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #19
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hata ikibidi kuvujisha mitihani mradi kiwango cha 83 / 17 kibaki kama kilivyo basi itafanywa hivyo, kufanya kinyume cha hivyo ni kinyume na matakwa ya wengi 83%.
   
 20. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #20
  Mar 4, 2012
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,322
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  Home boy....Dr Shein ana PHD ya kusomea na si ya heshima....

  Hii hapa chini ni CV yake enzi hizo akiwa VP wa URT...

  HON. Dr. Ali Mohammed Shein, Vice President of the United Republic of Tanzania


  CURRICULUM VITAE


  Name: Dr. ALI MOHAMMED SHEIN
  Born 13/03/1948, Chokocho, Pemba, Zanzibar
  Married with children


  Education:
  1956 – 1964 : Primary education at Lumumba College, Zanzibar. GCE "O" Level
  1969 – 1970 : Preparatory Faculty, Voronezh State University, USSR; "A" Level
  High Education
  1970 – 1975 Undergraduate Course at Odessa State University, USSR
  1984 – 1988 M. Sc. in Medical Biochemistry at the Medical School University of
  Newcastle Upontyne England, U.K.
  Doctor of Philosophy (Ph.D) inClinical Biochemistry and Metabolic Medicine,
  specializing in "Inborn Errors of Metabolism".
  Others

  1981 : Blood Transfusion Services and Operation of Blood Bank, Stockholm, Sweden
  1994 : A course in Management and Situation Leadership, Dar es Salaam
  1995 : Planning for HIV/AIDS in Developing Countries; University of East Anglia,
  Norwich, U.K.


  Work Experience
  May 1969 – September 1969: Clerk at the Ministry of Education and Assistant to the
  Deputy Principal Secretary, Education.
  1976 – 1984 – Head of the Department of Diagnosis and the Department of Pathology,
  Ministry of Health
  1989 – 1991 – Specialist in Diagnosis and Head of the Department of Pathology,
  Ministry of Health
  Nov. 1991 – July 1995 – Programme Manager, AIDS Prevention Project, Ministry of
  Health, and Advisor to the Ministry on Laboratory Services and Diagnosis.
  29 October 1995 : Appointed by the President of Zanzibar to be Member of the House of
  Representatives
  12 November 1995 – Deputy Minister Ministry of Health
  6 November 2000 – Member of the House of Representatives, Mkanyageni Constituency
  22 November 2000 – Minister of State, President's Office, Constitution and Good Governance
  Political Career
  1966 - Member of Afro Shiraz Party Youth League- A.S.P.Y.L.
  Jan. – Dec. 1969 – Publicity Secretary, A.S.P.Y.L., Lumumba College
  1968 – A.S.P.Y.L. Secretary, Zanzibar Secondary School.
  1969 – Member of the Afro Shiraz Party 13 June 1977 to date – Member of Chama.Cha.Mapinduzi.(CCM)
  2 September 1977 – Member of the National Executive Committee of C.C.M., Pemba
  South Region.
  27 September 1997 – Member of The National Executive Committee of Chama Cha Mapinduzi
  Organisations and Committees
  1990 – 1994 - Member of WHO Committee of Experts, Africa Region.
  1990 – 1995 – Member of the Academic Council of the Muhimbili University College of
  Health Sciences
  1990 – 1995 – Member of the Advisory Committee of the Tanzania Commission for
  Science and Technology
  1990 – 1995 – Secretary to the Research Council, Ministry of Health
  1989 – 1995 – Member of several committees in the Ministry of Health and others in
  Zanzibar
  Membership in Professional Associations
  1985 – 1995 – Member of the Association of Clinical Biochemists of U.K.
  1992 to present – Member of the Association of Clinical Pathologists for Eastern,
  Southern and Central Africa(APESCA).
  1992 – 1995 – member of the Association of Clinical Pathologists of Tanzania
  1987 – 1992 – Member of International Association of Inborn Errors of Metabolism
  Research Articles in Journals and Presentations at Various Fora
  Short Communication/Posters - Total 29
  Full Papers - Total 3
  Thesis - Total 2; M.Sc.and Ph.D.
  Participation in Meetings and Seminars
  Participated and presented papers in 12 foreign countries
  Appointed to be reporter at various international seminars
  Zanzibar Government Delegations to the World Health Assembly Geneva 1997 and 1999; and to the Family
  Planning Project in Indonesia in 1997.
  Has presented papers and chaired many meetings and seminars in Tanzania
  Countries Visited
  1969 to present – Has toured 19 countries in Europe, Asia and Africa
  Hobbies
  Athletics, football, reading books and newspapers.
   
Loading...