Lowasa anahitaji maombi ili Mungu amponye na maradhi yanayomwandama!

Status
Not open for further replies.

Mchokozi

JF-Expert Member
Feb 9, 2012
215
29
:flypig:Nimesikia na kusoma kwenye news inasemekana mzee wa kimasai aliondoka nchini kimya kimya kwenda ugaibuni kwaajili ya matibabu ya maradhi yanayomsumbua, japokuwa haikuwekwa wazi ni nini kinachomsumbua nawaomba wadau wote tumuombee ili Mungu aweze kumponya haraka na maradhi yanayomwandama:juggle:
 
Yeye hutumia akili zake kutuibia, sisi tutumie akili zetu kumuombea!!!!!!!!!!!? hii siyo principal za kimungu.
 
:flypig:Nimesikia na kusoma kwenye news inasemekana mzee wa kimasai aliondoka nchini kimya kimya kwenda ugaibuni kwaajili ya matibabu ya maradhi yanayomsumbua, japokuwa haikuwekwa wazi ni nini kinachomsumbua nawaomba wadau wote tumuombee ili Mungu aweze kumponya haraka na maradhi yanayomwandama:juggle:
Najua nitawa kwaza wengi kwa haya nitakayo yasema....Kamwe siwezi kumuombea mwizi na muuaji wa watanzania eti apone badala yake nitaomba afe haraka na wote wanao linyonya taifa hili...
 
Nafikiri hilo la kumuombea ni la maana zaidi hata kama haumwi, ila kuugua ni jambo la kawaida maana Lowasa pia ni mwanadamu.
Acha unafiki wewe unamwomea muuaji apone ili aje aendelee na uuwaji wake....afie mbali huko
 
Labda wkt anachanganya sumu kiasi ilimdondokea na sasa anaumwa ule ugonjwa aliokuwa ana xpot kwa wenzie
 
robo tatu ya Watanzania hawamtaki LOWASA......robo MOJA wamenunuliwa ili wampende na kumsafisha ktk kashfa zinazomkumba...Je upo tayari kununuliwa kwa buku 2500 za vipapatio vya kuku na POMBE.......???? ona kilichotokea ARUMERU....amefanikiwa kuwateka wajinga na kutegua mitego ya CC,sasa kazi kwenu kwa kupenda dezo dezo......ataendelea kuwatesa hadi na watato waliozaliwa leo watakapo pata mviiiiiiiiiiiiiiiiiiii kama yeye.
 
Nitafurahi siku nitakaposikia kuwa Mafisadi wote wa Magamba wanapukutika mmoja mmoja, Wametusulubu mno sasa noi zao yao na wao. Ikiwa Lowassa anahitaji maombi na Walalahoi walio Muhimbili wanahitaji nini? Pumbafu yako nenda kamuombee peke yako fisadi tu huna lolote unataka apone ili muendeleze madili yenu? Mungu atuondolee Mafisadi wote kama ikibidi hata wa Magogoni pia itakuwa nafuu kwetu.
 
Muombee adui yako apate kuishi siku nyingi, ili utakapo fanikiwa ajionee yeye mwenyewe ulivyofanikiwa
 
mungu wa hekima,sikia sala za watanzania!!!!!!mchukue na mpeleke kwenye moto wa milele fisadi huyu!!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom