Mgomo wa wanafunzi wa kiislamu wasitishwa baada ya madai yao kutekelezwa- pongezi kwa raisi wao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo wa wanafunzi wa kiislamu wasitishwa baada ya madai yao kutekelezwa- pongezi kwa raisi wao

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Paulo, Mar 9, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Paulo

  Paulo JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 350
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ndugu wana JF. Kwenye baya tukemee na kwenye jema tupongeze. Mimi nampongeza Raisi wa Jumuia ya wanafunzi wa kiislamu kwa kufanikisha madai ya wanafunzi hao kwa njia ya amani. Ila tusiache hili jambo lipite hivihivi kabla ya kulijadili. Chini ni picha ya Raisi wa jumuiya hiyo, hivyo naamini na yeye ni mwanafunzi pia. Swali langu ni kwamba hii jumuiya ni ya wanafunzi wa secondary & primary schools tu ama inajumuisha hadi vyuo? Kama haijumuishi na vyuo basi ninamashaka na huyu raisi kwani anaonekana ni mtu mzima na sio wa level ya sekondari. Pia anafuga tu-ndevu kitu ambacho sii ruhusa kwa wanafunzi ambao sii wa college. Hivyo pamoja na pongezi kwake naomba tujulishwe ni mwanafunzi wa level gani. Mwisho, CDM hakikisheni mnampa kadi ya uanachama huyu raisi kabla magamba hawajamhonga!
  [​IMG]
  Source:http://www.issamichuzi.blogspot.com/
   
 2. Paulo

  Paulo JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2012
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 350
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hope bwana Jaafar ni member humu, hivyo tungependa kusikia kutoka kwako na mtizamo wako juu ya kujiunga CDM!
   
 3. Paulo

  Paulo JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2012
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 350
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hope bwana Jaafar ni member humu, hivyo tungependa kusikia kutoka kwako na mtizamo wako juu ya kujiunga CDM!
   
 4. m

  mtznunda Senior Member

  #4
  Mar 9, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ww inakuhusu nn ww muislam?,pongezi za kinafk tu mbona uliyonayo moyon dhid ya uislamu huyatoi
   
 5. s

  sweke 34 JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  madai yaliyotekelezwa ni yapi?
   
 6. Paulo

  Paulo JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2012
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 350
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Du! MTZNUNDA kweli ww NUNDA! Ww unajua imani yangu? Sasa unafiki uko wapi katika hili? Au ulikua umejiandaa leo kwa maandamano na Jafar alipotangaza kwamba serikali imesalimu amri ukachukia? Tumsifu huyu kijana na nakukuhakikishi atakua na future nzuri sana hasa kama ataingia ktk siasa ama atasomea masuala na upatanishi na usuluhishi ktk migogoro.
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  1. Mahakama ya kadhi
  2. Tanzania kujiunga OIC
  3. Ijumaa kuwa siku ya mapumziko
   
 8. Paulo

  Paulo JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2012
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 350
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Naibu katibu wa wizara ya elimu na mafunzo ametangaza kua Wanafunzi woote 62 waliokua wamefukuzwa watarudishwa shule bila masharti yeyote.
  Source: MICHUZI
   
 9. s

  sweke 34 JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ni wale wanafunzi wa ndanda?
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...