Hali ya KCMC hospital ni tete

Prezoo

Member
Aug 3, 2010
21
9
Ndugu zangu naomba kwa haya nayowaeleza mpate kunijuza yawezekana kuna mwenye ufahamu wahili.hatima ya KCMC MULIPOTOKA, MULIPO, NA MUENDAKO !

  • Huduma duni za wodini.

  • Ongezeko la vifo wodini ghorofa ya kwanza, Tatu.

  • Huduma Kutolewa na Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha KCM-COLLEGE (mwaka wa NNe na wa TANO)

  • usafi wa hospital, wodini!
 
Tehee teheee
 
Baba Askofu Dr. Alex Malasusa, Mkurugenzi Mtendaji Dr.M. Ntabaye, Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala Bw.Stanley Mmbaga wakimbiwa na madaktari walipo jaribu kuzungumza nao ukumbini leo.
 
Baba Askofu Dr. Alex Malasusa, Mkurugenzi Mtendaji Dr.M. Ntabaye, Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala Bw.Stanley Mmbaga wakimbiwa na madaktari walipo jaribu kuzungumza nao ukumbini leo.

Duh! Hiyo kali. Na referrals wataziona wao. Au warudishe! Ha ha ha!
 
Madr. kazeni buti wananchi wafe wajue kuwa serikali yao haiwajali
 
Tunadumisha sera za chama cha mapinduzi. Kila mbuzi ale kadri ya kambake. Mi wacha nikachez afya pale apolo. Make najiskia uchovu sana hili jua la bongo
 
Hali ya Huduma ya Matibabu ya nje (Outpatient) Clinics zasimama wa wagonjwa wa Rudishwa.
 
yaani ndio mambo ya uhalisia kuchanganya na siasa. leo watu wanakufa kama mchwa au sisimizi lakini eti tunasubiri Serikali itoe tamko.

Sijaelewa bado ni tamko lipi tunalosubiri na ikiwa serikali kupitia PM kesha sema madaktari wa Jeshi watafanya kazi ya Dokta raia.

Labda watoe tamko kuwa na wana mgambo nao wakafanye kazi mahospitalini.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Tamko nila uwongo waandishi kununuliwa kuficha kasoro,Ukweli Wa Mambo: WAGONJWA WA NJE wamerudishwa kutokana na kufungwa kwa kiliniki.
 
Jackbauer:
hali inazidi kuwa ngumu, na mbaya, twaitaji Bodi ya ushauri ya hospitali KCMC kunusuru hali hii.
itachukua miaka 20-30 kurejesha katika haliyake.
 
Ndugu zangu naomba kwa haya nayowaeleza mpate kunijuza yawezekana kuna mwenye ufahamu wahili.hatima ya KCMC MULIPOTOKA, MULIPO, NA MUENDAKO !

  • Huduma duni za wodini.

  • Ongezeko la vifo wodini ghorofa ya kwanza, Tatu.

  • Huduma Kutolewa na Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha KCM-COLLEGE (mwaka wa NNe na wa TANO)

  • usafi wa hospital, wodini!

tangu lini haya yameanza? time is always important in any analysis.
 
KCMC hata pafulie kihuduma namna gani... Haitafikia kiwango cha hayo anayoyataja Prezoo!

Kwa maana hiyo basi,siitaki taarifa yake!
 
Back
Top Bottom