Hivi wa Dar Es Salaam ni wepi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi wa Dar Es Salaam ni wepi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dullo, Mar 9, 2012.

 1. Dullo

  Dullo JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 24, 2009
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa ninapata kigugumizi kujua hasa wazee ambao huwa anaongea nao Mhe. JK ni akina nani, kwani wanaooneka kuongea nao huwa ni wazee wa CCM kwa mtazamo wangu na kwa muonekano wao.

  Hebu tusaidieni jamani wenye ufahamu zaidi maana kunakuwa na mkwamo wa mawazo juu ya wazee hawa wa Dar Es Salaam.
   
Loading...