Mjadala wa mgomo wa madaktari Star Tv. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mjadala wa mgomo wa madaktari Star Tv.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by don-oba, Mar 9, 2012.

 1. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Jambo linalonishangaza kuhusu hawa wazee waliopo studio za Star Tv namba 1 ni kufikiri hawa wasomi madaktari hawana madai ya msingi. Na jambo nililoliona hapa, wazee walio wengi wanaupinga huu mgomo wakati vijana wengi wanauunga huu mgomo.

  Ninalowatahadharisha hawa wazee ni kwamba... 'usitegemee kudai haki sasa hivi hapa nchini bila kufanya mgomo' Baraza la mawaziri limechoka.
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,026
  Trophy Points: 280
  TBC = JK = CCM- A
  ITV = Mengi = CCM- B
  Star TV = Diallo = CCM- C

  Unategemea nini?
  Am outta here!
   
 3. r

  reformer JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 387
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Star TV mmekuwa kama TBC, hawa watu mliowaleta wanaongea uongo mtupu na nyie mnawaangalia tu!
   
 4. n

  ngokowalwa Senior Member

  #4
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 155
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  imepangwa makusudi
   
 5. MNAMBOWA

  MNAMBOWA JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,984
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  amini usiami mgomo huu unaki2 nyuma yake hata kama mawaziri watajiuzuru watadai na mwingine ajiuzuru unafikiri ni nani? Kila mmoja anajuwa matokeo yake.
   
 6. B

  Beethoven JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 351
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nakubaliana nawe 100%,hii ni propaganda at work na sio dawa wanazima moto kwa petrol.kama suala ni kulipiwa shule-mbona viongozi waliosoma bure ndio wanaoiuza nchi bei poa!
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kuna Jamaa ustadh mataka naona anatema pumba tupu!!
   
 8. r

  reformer JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 387
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kuna muda huwa angalau naiamini Star TV ukilinganisha na TV zingine kwenye mada sensitive kama hizi kupitia hiki kipindi. At least mnakuwa analytical na mnaleta watu makini, wenye hoja nzito na mitizamo tofauti ili kuleta uwiano kwenye mjadala. Leo mmechemsaha big time kukubali kununuliwa kirahisi na kuwaleta watu vilaza wenye mlengo mmoja kama hao. Watch out, mnapoteza muelekeo!
   
 9. r

  reformer JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 387
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Angalau huyu jamaa kijana nafikiri anaitwa DEUS anaongea point. U can c a difference btn wazee and vijana!
   
 10. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Nilikua nimezima Tv, bora kipindi kimeisha. Wanatokwa na mapovu mwili mzima halafu wanaongea pumba. Yaani nilishaacha zamani kuangalia tv za hapa nchini. Bora niweke cartoon niangalie.
   
 11. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,011
  Trophy Points: 280
  .
  Huyu sii ndio yule wanaesema sii riziki? Aliyakuwa amezawadiwa ATC akaiulia mbali?
  .
   
 12. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Zimwage hapa hizo 'pumba' zake tuzijadili. Usituletee umbea wako hapa.
   
 13. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #13
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  ...watu wakini wa JF,HATUNA MUDA WALA NAFASI YA KUJADILI PUMBA ZA HUYO MJINGA WAKO,TUNAJADILI MAMBO MUHIM NA YAMSINGI TU NUKTA
   
 14. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #14
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Thanx sabu kwa kumuelewesha huyo kilaza.
   
 15. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #15
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Sina uhakika kama ni Mataka huyu
   
 16. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #16
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  wewe ni kilaza,kwa nini unashindwa kuandika hapa kile wanachosema unatuletea mapenzi yako ya kitoto bana
   
 17. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #17
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hamna cha maana kwenye tv zetu
   
Loading...