Wadau, naona shirika la nyumba la Taifa linafanya ujenzi wa magorofa mapya ubungo-shekilango na chang'ombe. chakushangaza naona wanatumia open spaces(eg parking) zilizoko katikati ya majengo yao ya zamani kujenga magorofa mapya. nafkiri kutakua congested sana(imagine pale sheki zinaongezeka familia 80) population kubwa itakua ikiishi ktk eneo dogo sana.sijui kama utaalam umezingatiwa na hakukua na alternative kujenga nje ya mji. nahitaji kuelimishwa