Manesi kuanza mgomo leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Manesi kuanza mgomo leo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Salas, Mar 9, 2012.

 1. Salas

  Salas JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Manesi wafunguka, watatangaza mgomo nchi nzima kuunga mkono madaktari vikao vinaendelea
   
 2. majorbanks

  majorbanks JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Jamani hii sasa ishakuwa hatari...
  Kwani raisi anashindwa kuona faida na hasara za kuwalinda hao watu wawili tu?
   
 3. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Heeh! Hatari lakini lasama. Hakika sirikali ya jk imeingia kwenye boma la mama mkwe.
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Na mgomo usambae hata na polisi wajiunge na mgomo..........................
   
 5. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Walikuwa maeneo gani? Vikao vinafanyika wapi? Mbona habari yako imekaa kishakunaku...
   
 6. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Sasa hivi utasikia na polisi wamegoma maana swala la afya halina mwenyewe
   
 7. s

  sweke 34 JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  manesi automatically lazima waingie katika mgomo maana wenyewe huwa wanapewa maelekezo na madaktari...sasa bila daktari nesi atafanyaje kazi yake? kikwete analo...!
   
 8. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2012
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,303
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Wakigoma madaktari obviously NA manesi wamegoma, ni sawa na mdomo ukigoma so does the kolomeo,
   
 9. F

  FJM JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Mbona hili lilikuwa wazi kabisa! Na kama rais atatatoa hotuba sawa na ile ya mbayuwayu leo kwenye mkutano wake na wazee wa Dar basi tujiandae kuona sekta ya afya inakufa kabisa. Mpaka wapishi watagoma!
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,410
  Trophy Points: 280
  hahaha hii kauoi ndio mara ya kwanza kuisikia
   
 11. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,631
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  Ninasubiri jambo hili kwa hamu kubwa....manesi wagome rasmi, hata hivyo daktari akigoma automatically nesi hana njia nyingine ni kugoma....maelekezo juu ya tiba ya mgonjwa hutolewa na daktari, ripoti ya maendeleo ya mgonjwa kutoka kwa nesi hupewa daktari. Ni mgomo tu utakaorejesha muunganiko huu.
   
 12. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Goosh!
  Mke wangu ni Nesi!
  Haya mambo taratibu yanajicustomize mitaani na kutuhusu zaidi kila kukicha!...huh!
  RIP my wife's profession!
   
 13. M

  MAJEMBE MASUKA New Member

  #13
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chonde chonde,Motuary staff tafadhali nanyi msigome,itakuwa mbaya zaidi.
   
 14. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #14
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mbona nasikia mahakama itaka mgomo usitishwe?
  Au ni propa-gamba?!
   
 15. terabojo

  terabojo JF-Expert Member

  #15
  Mar 9, 2012
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 215
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mtoto wa mkulima kawazidi ujanja madokta kwa kupeleke ombi mahakamani na shauri kusikilzwa upande mmoja! Sijui kama hiyo ni sawa ila ndo amri imetolewa na lazima drs. Waitekeleze la watashitakiwa kwa kosa la kukaidi amri halali ya mahakama na kufungwa gerezani au kupigwa faini! Ila nadhani gvt wamepata temporary breathing space kwani tatizo liko palepale!
   
Loading...