Mgomo wa madaktari umepwaya clouds waonywa kuupa media coverage

Salas

JF-Expert Member
Feb 15, 2009
382
82
Radio clouds wameonywa kutoa mijadala au taarifa mbali mbali juu ya mgomo unao endelea imefahamika kuwa kipindi cha mwanzo waliupa mgomo airtime kubwa ndio maana ulifanikiwa sana na hizi taarifa pia zimepelekwa kwenye vyombo vya habari vingine ikiwa ni strategy ya TISS kuzibithi mgomo huu kwa kugawa madktari na media na madaktari wao kwa wao. Mpaka sasa Dr Mponda hajulikani halipo kuthibitisha tishio alilopewa na TISS.

ni haya kwasasa
 
hiyo ni kweli mkuu! Hakuna coverage kabisa vituo vyote kimywaaa
 
Radio clouds wameonywa kutoa mijadala au taarifa mbali mbali juu ya mgomo unao endelea imefahamika kuwa kipindi cha mwanzo waliupa mgomo airtime kubwa ndio maana ulifanikiwa sana na hizi taarifa pia zimepelekwa kwenye vyombo vya habari vingine ikiwa ni strategy ya TISS kuzibithi mgomo huu kwa kugawa madktari na media na madaktari wao kwa wao. Mpaka sasa Dr Mponda hajulikani halipo kuthibitisha tishio alilopewa na TISS.
ni haya kwasasa

Hauhitaji kutegemea radio siku hizi ili kupata habari. BBC, VOA n.k watatangaza, na watu wanaoathirika watatupa habari live bila chenga. In fact ukimya utawafanya watu watafute habari kwa bidii zaidi.
 
hiyo ni kweli na clouds inaanza kuwa radio ya chama bana

mwe mwe mwe! poleni mnaojua saizi kuwa hiyo radio ni ya chama!
Kitambo sana niliacha kusikiliza sijuia hata hapa nimeingiaje??
 
Clouds Labda! Magic wapo hewani sasa hivi na wananchi wanachi wanachangia live, East africa radio walikua na madktari wawili live kuanzia saa tano mpaka sita.
 
Ma dr walikuwa wanataka kuuza sura! Sasa wananyimwa platform
 
mwe mwe mwe! poleni mnaojua saizi kuwa hiyo radio ni ya chama!
Kitambo sana niliacha kusikiliza sijuia hata hapa nimeingiaje??
Watu siku hizi wanapata habari kupitia JF, nani anasikiliza radio za uchochoroni? JF ni kila kitu
 
Samahani mimi huwa sisikilizi Clouds FM, Lakini huko sio ndiyo anafanya Efraimu Kibonde?
Kwani ile strategy waliyotumia kwenye mgomo wa mwanzo ya kumtumia mouth speaker wao
Kibonde kukandia DKs na kuchochea chuki ya wananchi dhidi ya Dks haiku work?

TISS wa siku hizi ni bure kabisa, mimi wakati wa Nyerere sikuwahi kuona TISS akijitambulisha
eti mimi ni USALAMA WA TAIFA. Lakini TISS wa siku hizi wanaona fahali kufanya hivyo no
wonder wanashindwa kutoa mbinu za medani kukabiliana na mgomo wakifikiri source of news
ni Radio Tanzania tu. Wake up TISS this is an era of TEKNOHAMA kuna vyanzo vingi vya habari kuanzia
radio, TVs, Internet, FB, Twitters, Mobile phone etc.
 
MGOMO WA MADAKTARI:Hapa kwenye Hospital ya Rufaa Mbeya hali ni Mbaya kabsa yaani uwezi kuelezea.
Ward no.1 hali ndo ucseme cz ni Majeruhi wa Ajal mbali mbali yaani mpaka uvundo wa vidonda vya Majeraha.i
Madaktari hawapo then Manesi wapo b...t wanapiga Story tena awana mda na wagonjwa,awazuii kuingia kama apo awali.
Pls Serikali tuoneeni Huruma cc maskini tena tulio walalahoi kwani kujiuzulu kwa Dr.Haji Mponda na Dr.Lucy Nkya kuna gharama gani??
Hv Rais wa Nchi upo kweli?? na tulikuchagua kwa manufaa gani ebu toa kauli ktk hil Rais wang Mpendwa JAKAYA MRISHO KIKWETE
vitu vya fb hivi hapa
 
Kwa wale waliokuwa wanahoji nani muuwaji sasa watapata jibu. Serikali siyo tu imesababisha huu mgomo wa madaktari lakini pia wamefanya kila wawezalo ili watu wasipate taarifa za mgomo! Silent killers!

2015 wagombe ubunge kwa kiti cha ccm watapata tabu sana!
 
Hata usalama wakiwanyamazisha,mbona jf hapa tunachangia? Wapande juu wakazibe f...l.sh
 
Kwani huu mgomo jamani ni kweli wa nchi nzima? Au ndo Ma Dr wamegawanyika?
 
Radio clouds wameonywa kutoa mijadala au taarifa mbali mbali juu ya mgomo unao endelea imefahamika kuwa kipindi cha mwanzo waliupa mgomo airtime kubwa ndio maana ulifanikiwa sana na hizi taarifa pia zimepelekwa kwenye vyombo vya habari vingine ikiwa ni strategy ya TISS kuzibithi mgomo huu kwa kugawa madktari na media na madaktari wao kwa wao. Mpaka sasa Dr Mponda hajulikani halipo kuthibitisha tishio alilopewa na TISS.

ni haya kwasasa

Kapata tisho la nini sasa?
 
Unatumia mbinu za zama za akina Benito Truman /Hitler /Mussolini/Mao/yule wa urusi nimemsahau kuuzima habari za mgomo.
 
Hivi hii nchi ina usalama wa Taifa kumbe? mi najua ina masharobaro wanaolinda usalama wa ccm tu
 
Back
Top Bottom