kwanini march 8?

kwanini march 8?

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
11,453
Reaction score
10,059
wadau wa JF naombeni mnijuze kwanini siku yawanawake duniani ni tarehe 8 march, au kuna tukio lilitokea tarehe hiyo ndo wakaamua kuifanya iwe siku yao?? Karibuni tujuzane
 
kwa nini terehe 1 Dec?
kwa nini tarehe 1 April?
 
wadau wa JF naombeni mnijuze kwanini siku yawanawake duniani ni tarehe 8 march, au kuna tukio lilitokea tarehe hiyo ndo wakaamua kuifanya iwe siku yao?? Karibuni tujuzane

asante mkuu tujuze sasa..
 
Back
Top Bottom