FFU versus Doctors

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,374
Safari hii wamepatikana...wamezoea kuwagonga virungu wanafunzi UD...kuwamwagia maji CDM...kuwapiga mabomu wazee wa EAC
Sasa safari hii wamepigwa bao...watawafuata madr majumbani??
 
this is big thanks to Mark Zuckerbeg!

Usokitabu aka facebook revolutionized all this
 
Safari hii wamepatikana...wamezoea kuwagonga virungu wanafunzi UD...kuwamwagia maji CDM...kuwapiga mabomu wazee wa EAC
Sasa safari hii wamepigwa bao...watawafuata madr majumbani??

thubuuuutu!!!!!
wanambwelambwela tu,
haya ni makosa ya binadam kusikiliza ushauri wa sokwe!!!!
 
Sokwe wanaongea siku hizi, mpaka mtamkufuru Mungu mwaka huu, mambo hayaendi
 
thubuuuutu!!!!!
wanambwelambwela tu,
haya ni makosa ya binadam kusikiliza ushauri wa sokwe!!!!
Sijaona magari ya washawasha wala sijasikia polisi kuzuia kibali...
 
Madaktari hawajafanya maandamano ya kuvuruga amani au kuleta ghasia wanakutana kwenye kumbi kwa amani na kuondoka kwa amani FFU wa nini? Mazingira ya migomo hayako sawa lakini kama madaktari wangeleta vurugu na ghasia mitaani FFU tungewaona wakiwatawanya.
 
tunalijua hilo Mama porojo ndio maana tunasema hii style FFU wamepigwa bao hawana kisingizio
 
Mbona ulinganifu wako hauna mashiko, FFU c kazi yao kuzma migomo ya namna hyo, acheni kushabikia mambo yasio na logic hebu washauri hao Madaktari mgomo wao uambatane na maandamano yasio na kibali watoke tu pale geti la muh2 watnge mtaaan kwa maandamano afu waone hao FFU kama watawachekea kama hawajarud kazini kutibiana wenyewe kwa wenyewe au wafanye vurugu pale muh2 ndo mtawafeel sasa hao FFU hebu wacheni ushabiki wa hivyo sio level yako "Grt Thinker" waachie watumiao masaburi kufikiri ndo level yao!!
 
Kwan wanafunzi UD kila wanapotimuliwa na FFU huwa wanakuwa kwenye maandamano??
 
Safari hii wamepatikana...wamezoea kuwagonga virungu wanafunzi UD...kuwamwagia maji CDM...kuwapiga mabomu wazee wa EAC
Sasa safari hii wamepigwa bao...watawafuata madr majumbani??

Mkono wa Serikali ni mrefu.
 
Mbona ulinganifu wako hauna mashiko, FFU c kazi yao kuzma migomo ya namna hyo, acheni kushabikia mambo yasio na logic hebu washauri hao Madaktari mgomo wao uambatane na maandamano yasio na kibali watoke tu pale geti la muh2 watnge mtaaan kwa maandamano afu waone hao FFU kama watawachekea kama hawajarud kazini kutibiana wenyewe kwa wenyewe au wafanye vurugu pale muh2 ndo mtawafeel sasa hao FFU hebu wacheni ushabiki wa hivyo sio level yako "Grt Thinker" waachie watumiao masaburi kufikiri ndo level yao!!
Mkuu ni suala la kufikiri kidogo tu na kutambua hoja yangu...
Nililenga kusema mara nyingi kunapokuwa na migogoro ya wanavyuo ya wanaharakati na wanasiasa ikitumika migomo au maandamano serikali mara nyingi hukimbilia hiki chombo FFU na kusambaratisha wahusika bila kutatua KIINI cha tatizo.Sasa kwa hoja hiyo ya zimamoto solution waliyozoea hapa ndio wanafundishwa kuwa si kila MGOGORO huzimwa kwa nguvu za dola
Hoja za humu wakati mwingine huja kama mafumbo na hawa maGT kuzing'amua
 
tunalijua hilo Mama porojo ndio maana tunasema hii style FFU wamepigwa bao hawana kisingizio

Wanawasubiri waleta fujo Arumeru, na wameisha sema kwenye kikao chao kinacho endelea moshi kuwa atakae leta fujo Arumeru atajuta kuzaliwa na wazazi wake, watamfanya kitu mbaya. Haya salamu hizo kwenu cdm

Hakuna fujo bila sababu lakini ukisimikiwa mkuki mlangoni lazima uhoji
 
Back
Top Bottom