Ajali ya moto ya kushangaza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali ya moto ya kushangaza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Zuia Sayayi, Mar 9, 2012.

 1. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ktk wilaya ya misungwi kumetokea ajali ya moto ambayo cjawahi kuona
  iko hv:
  jamaa yy pa1 na wa2 wa4 wamekufa papohapo baada ya moto kutokea ndani

  MAAJABU :
  a)(moto umeunguza wa2 walikuwa kitandani mpaka wakaiva na kuungulia katika Godoro bila kitanda kuungua (chaga ni nzima hata ukiwekapo godoro jingine bado utaendelea ku2mia hicho kitanda)

  (b)mpaka wa2 wanaenda kuzma moto huo wamekuta milango iko wazi na m2 m1 alikuwepo mlangoni kafa (inaonesha alikuwa anajaribu kufungua mlango atoke nje)

  (c)moto umeunguza watu peke yake na hamna ki2 kingine kilicho ungua

  mytake
  wa2 wanadai eti wanafamikia hao walikosea mashart ya dawa ya kienyeji waliyokuwa wamepewa na mganga
  R.I.P marehem wote
   
 2. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Andika vizuri mbona unaandika kama mtoto anae jifunza kuandika?
   
 3. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Asante kwa taarifa, lakini nimepata tabu sana kusoma kitu ulichoandika.

  Next time tumia maneno ya kiswahili yaliyokamilika, wengine hatujui hivyo vifupisho vya face book.
   
 4. v

  valid statement JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  Anayebisha ni uchawi huo, abishe na nafsi yake.
   
 5. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,347
  Likes Received: 2,685
  Trophy Points: 280
  kwa nini usifikirie pengine walichomwa sehemu nyingine na masalia yao kuwekwa humo ndani...kwamba the whole scene imekua staged
   
 6. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  (pa1 wa2 wa2) hizo lugha haziruhusiwi jf. poleni wafiwa
   
 7. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
Loading...