Hivi huyu wa kwenye Twitter na Facebook ni Rais Kikwete kweli?

Dotto Athumani

Senior Member
Feb 11, 2012
106
23
Napata shida sana kuelewa pengine ni ujinga wangu au kwa kuwa nimekosa pa kuaminia. Kila napomuona Rais anapost jambo kwenye facebook au Twitter afu nchi inajadili jambo tofauti kabisa huwa sielewi kabisa. Unaambiwa Rais yuko busy akishughulikia masuala muhimu nchi inayumba lakini ukiingia kwenye mitandao ya kijamii unamkuta busy akiweka mijadala kwenye facebook/twitter. Nisaidie hivi huyu ni Rais huyu huyu au kuna mtu kapewa jukumu hilo pale Ikulu, na je ni sahihi kama anaeweka posts hizo si Rais na bado anatumia jina hilo?
 
Ya
ni yeye kweli
coz mwanae riz1 alihojiwa cku1 clauz na akajibu kuwa account yake wamei hack, na zile za mshua.?
Akajbu ni prezda kweli
source
Amplifaya ya clouds fm
 
Hizo Post unazoziona saa nyingine ni za kina Reyemamu ndio wanamsaidia kumuandikia! Thats is Craaaap!
 
Sasa mbona anapost vitu outdated kama muda anao? He is delibarately avoiding kugusia mgomo kabisa wakati huu ndo muda wake anamatatizo gani huyu Mkuu wetu mbona anatuchanganya namna hii!!
 
Ya
ni yeye kweli
coz mwanae riz1 alihojiwa cku1 clauz na akajibu kuwa account yake wamei hack, na zile za mshua.?
Akajbu ni prezda kweli
source
Amplifaya ya clouds fm

Na huku JF anatumia ID gani wakuu? Au ndo tuseme huku JF hana ubavu wa kutia mguu..!
 
Mi naamini yule si yeye wakuu. Lakini hata hapa Jf kuna ID yenye jina MRISHOK. Sa sijui ndiyo yeye au la.
 
Mimi naamini - Post zinaweza kuwekwa na Maafisa habari na hao maafisa habari kukusanya habari ili kuona mwenendo na maoni ya raia kuhusu mambo wanayoyahitaji kwa ruhusa ya Mh Kikwete.
 
Kama kweli si yeye basi kuna tatizo kwenye safu yake pale Ikulu, tutaacha kumchukulia serious hata huku maana hakuna mjinga wa kumezeshwa dozi ya danganyatoto. Mi nafikiri best way ni kutatua mara moja matatizo ambayo haya hitaji fedha za wafadhili wa za walipa kodi. Kwa mfano kuwafukuza mawaziri wabovu ni suala dogo mno, kama kawezekana mtumishi mkubwa wa umma (mama Nyoni) sa hao wanateuliwa wanashindikanaje?!
 
Back
Top Bottom