Hali ya usalama barabara ya uhuru kutoka marapa hadi msimbazi

kyoga

Member
Sep 16, 2011
31
11
Ni jambo la kusikitisha kuona matumizi mabaya ya barabara ya uhuru wakati wahusika wa usimamizi wa matumizi ya barabara wapo na wanaangalia jinsi waendesha mikokoteni wanavyo pita katikati ya barabara na kusababisha usumbufu wa waendesha magari bila kuwachukulia hatua yoyote.

Vyombo vyetu vya usalama vinasubiri hadi kutokee ajali ndiyo vichukue hatua.
 
Kama ndio barabara ya uhuru ndio Utaweza kuona jinsi maendeleo yetu Yalivyo Baada ya Miaka Hamsini!! Eh Mungu Tusaidie
 
Back
Top Bottom