engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,150
- 1,437
wana JF
Kwa yeyote mwenye habari juu ya maendeleo ya afya ya Mh Lowasa atujuze.
kuhusu Mh Mwakyembe na Mh Mwandosya tunasikia wanaendelea vyema,je vipi Mh Lowasa anaendeleaje
maana ni vyema tuka wajulia khali waheshiwa wetu