vyuo vikuu vinavyotumia notice board kutoa matokeo ya mitihani ni pamoja na Tumaini- Kurasini

Danniair

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
360
66
vyuo vikuu vinavyotumia notice board kutoa matokeo ya mitihani ni pamoja na Tumaini- Kurasini. Hata leo yako ubaoni hapo. Kwa jinsi wasivyojua kutumia kompyuta hata matokeo yenyewe yamechanganywa ila mbaya. Mtu hajafanya baadhi ya masomo lakini kawekewa maksi za masomo hayo. Wengine hawajafanya mitihani kabisa wapo kwenye special exams lakini wamepewa mpaka GPA za 3. Malasusa hupo hapo Dr.? Bwana asifiwe.
 
Back
Top Bottom