Tutaweza kumaliza tatizo la ukataji miti na umaskini wetu wa-tz? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tutaweza kumaliza tatizo la ukataji miti na umaskini wetu wa-tz?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by DOTTO MUNGO, Mar 12, 2012.

 1. D

  DOTTO MUNGO Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari; pamoja na juhudi mbalimbali za kutoa elimu juu ya utunzaji wa mazingira hususani upandaji wa miti, bado tutaendelea kuwa waharibifu wakubwa wa mazingira kwani wananchi wengi hasa wa vijijini hawana uwezo wa kutumia nishati mbadala kama vile solar power, HEP, Gio gas, nk, hata kama wakipatiwa huduma bure ya kuunganishiwa umeme, uwezo wa kulipia kwa wanakijiji wengi ni finyu. Tutaweza kwa mbinu zipi kulikabili tuwa na kipato kidogo?
   
Loading...