Naomba mnisaidie! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba mnisaidie!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bambanza jr., Mar 13, 2012.

 1. Bambanza jr.

  Bambanza jr. JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi ni ubinafsi au ndo kutokujua? Nashindwa kuelewa humu ndani kuna matatizo gani, kwani majukwaa yanayokuwa na wachangiaji wakutosha ni la siasa, la mahusiano,urafiki na mapenzi na lile la vichekesho,utani mengine kama la sheria watu wameyaacha! Ushaidi: niliingiza uzi wangu kule jukwaa la sheria nikiomba kujua maana ya 'sheria kandamizi' tar8 kwan siku ya wanawake duniani waliahinisha moja kati ya vikwazo ni hicho bt sizielewa NAOMBA KUSAIDIWA TAFADHALI.....!
   
Loading...