Kuexpire kwa atm card ya nbc

Malolella

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
366
111
Wana jf...mimi ni mteja wa nbc, akaunti yangu niliifungua kwaajili ya boom nikiwa chuoni. Ni kama miezi mitano cjai2mia, leo kunam2 kaniingizia hela na akaunti haikuwa nahela b4. Nilipoenda nimeingiza kadi option ilokuja nikuwa account status 25. Kulikoni? Inamaana nilishafungiwa?
 
inamaana ulikuwa hujui kuna customer updates tembelea tawi lolote lililo karibu nawe utasaidiwa mkuu..
 
Wana jf...mimi ni mteja wa nbc, akaunti yangu niliifungua kwaajili ya boom nikiwa chuoni. Ni kama miezi mitano cjai2mia, leo kunam2 kaniingizia hela na akaunti haikuwa nahela b4. Nilipoenda nimeingiza kadi option ilokuja nikuwa account status 25. Kulikoni? Inamaana nilishafungiwa?

mkuu.....hiyo imewatokea wateja wengi kama sio wote wa NBC...wanafanya hivyo ili uingie ndani then ukapate maelekezo ya jinsi ya ku-update account yako.......walichofanya kibaya ni kutokutoa taarifa kwa wateja......

Tembelea tawi lako haraka,maana mwisho ni March 31. Japo hata kama huna taarifa kuna thread nyingi zimewekwa hapa. Hujachelewa mkuu!
 
Account imekua blocked, yaani imewekewa memo, nenda tawini kwako ukapate maelezo juu ya documents za kupeleka bank.
@Kennedy kwani ni March 31 au 14? Hio ni order ya BOT na walielekeza mpk March 14 kila mteja awe ameshaupdate information zake.
Preta, matangazo yametoka kwenye radio, magazeti, na customers wamekua wanatumiwa barua kwenye box zao, mm binafsi nimepokea barua tangu Sept mwaka jana
 
hiyo deadline imewazingatiaje wateja walio nje ya nchi ambao labda kurudi kwao ni baada ya siku hiyo??
 
hiyo deadline imewazingatiaje wateja walio nje ya nchi ambao labda kurudi kwao ni baada ya siku hiyo??
Ndo pale customer anapotakiwa kuijulisha bank juu ya mabadiliko ya address zake, siku hizi hakuna kisichowezekana, online zinafanya kazi na hii taarifa ilitolewa 1 year back. Anti money laundering, customer lazima asubmit hizo information, no way
 
Kweli jf ni kilaki2. Nashkuru kwa ushauri wenu wadau, nimeenda bank na nikaambiwa napaswa kupeleka taarifa zangu kwaajili ya ku update, ila nimelazimika kupanga foleni kuchkulia dirishani coz kwa atm mpaka nipeleke hzo taarifa.
 
Back
Top Bottom