Jamani watanzania hamjachokaaa

FRANK SHIRIMA

Member
Nov 30, 2009
25
1
haya maisha ya wananchi na ya watu wa serikalini mbona hayana uwianoooooo, wabunge wa ccm kusinzia tuuu na bado wanataka kiti cha Arumeru, jamani watanzania tuwe macho ccm inatupeleka wapiii,mbona ahadi zao ni tamu lakini matimizo machungu?madakatri wanagoma then wao wanatibiwa nje hivi ccm nini lakini?mikopo vyuoni nalo ni tatizo sugu lakini kuwaongezea mshahara wabunge wanaolala ni poa c ndio serlikali yetu eh,hivi watanzania hamjachokaa, da mi sioni umuhimu wa kukumbatia jiwe kama maji coz huu ni ujinga,WATANZANIA TUAMKE SASA, HAKI NI ZETU SOTE.PLEASE ARUMERU MSIFANYE KOSA.
 
Back
Top Bottom