Habari wana nzengo.... jana nilikata tiketi basi linaitwa COAST LINE kutokea Arusha kwenda Mwanza, nimeamka saa11 na saa11.30 nilikua tayari stand nilivyofika stand konda nikamwonyesha tiketi, akakata ile seat no akaniwekea nyingne A10, nikakaa nyuma ya dreva kwa corridor ya pili, ikafika muda watu wakajazana niliyekaa nae yeye akaniambia anaenda tabora mmmmh nikasema mm mza..... kwa wanaojua njia ya kwenda mza hupiti tabora, kwenye gari ndani watu wamekata tiketi mara mbili yaan seat moja ina watu wa2...... ilikua vurugu si kidogo uzuri m niliwahi akaja mtu anasema hii seat ni yake nikamwambia aliewahi ndo yake akawa muelewa....... safari ikaanza...... tukafika nzega tukaambiwa abiria wote wa mza washuke wapande basi lingne hapo nje tukashuka.... heeee mara ilo gari tuliyofaulisha limejaa wanataka tukae mbele pale wanakokaaga makonda kwenye engne tuliokua tumekosa seat,hapo bado mizigo unajishushia unapeleka tena kwenye gari tukagoma tukasema twaenda polisi wakatafta gari lingne tukapata seat ilo gari pia watu wametoka dodoma na ALLYS BUS wanadai pia wamefaulishwa hapo nzega, tukaendelea na safari, tulivyofika shinyanga kimbembe kingne, akaja mtu tena hajulikani akasema wanaoenda meatu wabaki kwenye gari wanaoenda mwanza waende kwenye ilo basi lingne tena la ALLYS BUS imagine hakuna aliekua anaenda meatu.
ivyo basi nawashauri wana jamii forum kua haya magari hayafai hayajali thaman ya mteja wanchojali ni faida tu na hayo magari tuliyofaulishwa ni mabovu, full kuchoka usiku mwema wote
ivyo basi nawashauri wana jamii forum kua haya magari hayafai hayajali thaman ya mteja wanchojali ni faida tu na hayo magari tuliyofaulishwa ni mabovu, full kuchoka usiku mwema wote