Slaa shujaa awavutia CUF alipojumuika nao Dar Kumpokea Lipumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Slaa shujaa awavutia CUF alipojumuika nao Dar Kumpokea Lipumba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Candid Scope, Mar 13, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Safari ya kujenga umoja katika vyama vya siasa sasa inaelekea kushika njia kwa kuonyesha ushirikiano katika masuala yenye kuleta manufaa kitaifa na kuweka kando tofauti za kiitikadi.

  Katibu Mkuu wa Chadema, Dr. Slaa kujumuika na WanaCUF ni dalili tosha kuleta mvuto pekee na kuibua minong'ono ya kiu ya wengi kwa siku nyingi kwamba wapinzani waunganishe nguvu pamoja kuitoa CCM madarakani.

  Nawapongeza Chadema kwa uamuzi wa busara wa kuonyesha mshikamano na kuwa mfano wa kuigwa na baadhi ya vyama vya upinzani kuwa kitu kimoja katika kujenga demokrasia ya kweli nchini. Licha ya tukio zito la uzinduzi wa kampeni Arumeru Mashariki, lakini wameweza kugawana majukumu na halikuaharika neno, kila kitu kimekwenda kama walivyokusudia.
   
 2. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Bravo Dr Slaa!
   
 3. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Chadema sasa wanafanya mambo kisayansi
   
 4. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,275
  Trophy Points: 280
  Very old news pal! hii kitu iko hapa tangu jumapili!....
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,275
  Trophy Points: 280
  Sikutegemea mtu kama wewe kuja na habari nyepesi za viwango hivi na upotoshaji wa makusudi, Dr Slaa alishuka uwanja wa ndege wa JK International Airport siku ya jumapili na ni siku hiyo hiyo Lipumba naye ndiyo ilikuwa siku yake ya kurudi kutoka kule kwenye deiwaka zake za kisomi, na Dr ndiye alikuwa wa kwanza kushuka hapo uwanjani na kuondoka zake, ni kukomsea adabu na heshima Dr Slaa kwamba anaweza kuacha majukumu yake ya maana kwenda kumpokea mtu Airport ambaye alipaswa kupokewa na familia yake tu! huku ni kumvunjia Heshima Dr Slaa.
   
 6. hodogo

  hodogo JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 239
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hey Mheshimiwa JB Wiser tuliza munkari! Hata kama unachosema ni sahihi, kwani kuna ubaya gani kumpokea kiongozi mwenzake? Upinzani si uadui! Ni kutofautiana itikadi tu.
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,275
  Trophy Points: 280
  Tafuta platform ya kuongelea hizi pumbas, Dr Slaa alikuwa anatoka safari zake na akashuka kwenye ndege akatoka nje ya uwanja akacheka na wana CUF na akaondoka zake kabla ndege ya Lipumba haijatuwa uwanjani, ni kwa nini nikubali habari hii kugeuzwa ili tuamini mnavyopenda nyinyi? huu ni utoto JF inategemewa na watu kama source of Info na kamwe tusiligeuze kuwa jukwaa la porojo.
   
 8. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  ...ahsante kwa ufafanuzi lakini bado ntafakari nini lengo la aleweka bado hili...
   
Loading...