Hivi Jk anazungumza na wazee au anawaambia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Jk anazungumza na wazee au anawaambia?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtego wa Noti, Mar 12, 2012.

 1. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Kwa jinsi ninavyojua, kuzungumza na wananchi ni hali ya kila upande kuongea na kupeana mawazo. katika hili, Jk amekuwa akisema anaongea na wazee na wakat ukiangalia na kusikiliza unaona kuwa ni yeye anayeongea na sio wazee kuongea naye. Cha kushangaza unakuta mzee anahojiwa na waandishi anasema ana furahi eti kwa sababu JK ameongea nao...! Sasa hapo JK kaonea nao au kawaambia mawazo yake tu? Ni kitu gani ambacho wazee wamemwambia JK?
  Kazi tunayo!!!
   
 2. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Jikumbushe kupiga hadithi utapata jibu
   
Loading...