Magic FM na kipindi chao cha gumzo wanapotukana madaktari na wanaharakati | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magic FM na kipindi chao cha gumzo wanapotukana madaktari na wanaharakati

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nyumisi, Mar 13, 2012.

 1. N

  Nyumisi JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 60
  WanaJF nimesikiliza kipindi cha gumzo asubuhi kuna mtangazaji anajiita Meshack nzowa anatamka maneno makali ya kuwashambulia madaktari na wanaharakati hadi inakera sana. Anasema katika hotuba ya jana Rais alitakiwa kuwakoromea tu kwa staili aliyotumia kwa akina Mgaya badala ya kuwabembeleza na kwamba angewataja kwa majina akina mama Nkya na Kijo Bisimba kwamba ndo walichochea madaktari wagome.

  Hivi ni sahihi kuwashambulia madaktari kisa wameamua kurudi kazini na kuanza kukejeli role ya wanaharakati katika kutafutia ufumbuzi mgogoro huu.

  Au nyie mnalionaje hili jamani.
   
 2. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  Wakati wa mgomo walikuwa wanaponda sana serikali, leo baada ya JK kuongea wanaponda madaktari na wanaharakati. Njaa ndo sababu ya umaskini wetu.
   
 3. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Anajikomba pengine atapewa ukuu wa wilaya
   
 4. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  magic fm na chanel ten wanaboa sana,kifupi ni kwamba wanaganga njaa zaidi....
   
 5. F

  Froida JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Mimi nadhani Kuwa single out NKya na Bisimba wanadhani watawapunguza nguvu ni kupoteza muda kwa sababu wanaharakati ni wananchi na sasa hivi wengi wanafanya uwanaharakati wao popote walipo wanapoishi na wanapotafutia riziki , tukubaliane serikali hii ni bogus badala ya kwenda mbele tunarudi nyuma
   
 6. M

  Mukalabamu Member

  #6
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Upeo wao wa kuelewa umeishia hapo hawana tofauti na wale wazee waliokuwa wanampigia jk makofi wakati wanaonyesha dhahiri wana utapiamlo chini wamevaa malapa yaliyojaa vumbi,wanasubiria ubwabwa
   
 7. Mkubwa ndevu

  Mkubwa ndevu JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
   
 8. M

  Megawatt B JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Wanaharakati hawakuahamasisha mgomo bali walihimiza serikali kuhakikisha wanamaliza mgomo kwa kuongea na madaktari
   
 9. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #9
  Mar 13, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,736
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Huyo dogo kwani kuna kitua anafahamu ni mtoto wa juzijuzi tu amesahau alivyokuwa anakuja pale ttcl hq kuomba nauli ya shule kwa mama yake, sasa hivi kukaa kwenye screen tu ashajioni anajua kila kitu mwache amtumikie kafiri...... Lakini ipo siku atajua umuhimu wa dr
   
Loading...