Chanzo cha shida ya maji Moshi ni Serengeti breweres

Kima mdogo

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
303
46
Zaidi ya miezi 3 mji wa Moshi umegubikwa na uhaba mkubwa wa maji kila kona wamama wanazunguka na ndoo wakitafuta maji mchana kutwa hali ambayo haijawahi kutokea mjini hapa, habari zilizonifikia ambazo sijazithibitisha ni kwamba Idara ya maji Moshi inafunga maji kwa wananchi wa kawaida na kuyapeleka kwenye kiwanda cha SERENGETI BREWERES kwa matumizi ya kutengeneza bia.
 
How comes wafunge maji kwa wananchi wote wa Moshi then wapeleke katika kiwanda kimoja tu cha bia? Hicho kiwanda kina matank makubwa kiasi gani? Hebu nenda kathibitishe kwanza hii habari ndio urudi tena na majibu
 
Back
Top Bottom