Airtel chini, Voda juuuuu. Mbwembwe za bure

Royals

JF-Expert Member
Nov 19, 2011
1,466
378
Mbwembwe za Airtel ni uzuri wa mkakasi kumbe ndani kipande cha mti. Matangazo kibao, mara mpitishe mibasi myekundu ns kuwashawishi watu wahamie kwenu. Upompo mtupu.
Mnahangaikia nini kumbe ni wezi wa kubwa wa Jirushe yenu ya tsh 1900 kwa masaa manne kwa mchana mmoja. Kwa akili yenu mnafikiri ni nani mjinga wa kuongae masaa manne kwa kila siku. Upompo mtupu.
Angalieni mtandao makini wa wenye kufikiri vizuri wa Vodacom a.k.a Kazi n kwako walivoigawa Chekatime yao. Iko mpaka ya tsh 150. Kudadaki, hawa ndo wanaume bwana,Maneno kidogo matendo kibao.
Kama huamini wee bonyeza *149*01# kwenye Vodacom ujionee wanaume wanaojua kujipanga. Wee baki na makelele ya hamia huku nanilii na huku wenzako wanakwambia Kazi n kwako.
 
kwakweli internet yao iko slow sana..now natumia net ya Voda

kuna mambo mengi ya kuzingatia kabla ya kujiunga na mitandao ya bongo, hususan ktk internet. Wengine hata gongolamboto hawakujui lkn wakikaa ofisini wanakuambia 3G inakamata huko.
 
wote wezi. huwa wanawalipisha baadae hizo cheka+ kwani mnafahau ktk internet wanachapa kiasi gani.Nunua virushi halafu weka software ya kuangalia bytes ulizotumia na muda kita disconnect.utacheka sometimes nusu tuu ingine wanasepa nayo.hata simu jenga tabia ya kucheki muda na rate+ VAT. kuan muda wanakula km enzi za tritel
 
ndo mana wanajibadili majina kama vile hawajiamini.
 
Mbwembwe za Airtel ni uzuri wa mkakasi kumbe ndani kipande cha mti. Matangazo kibao, mara mpitishe mibasi myekundu ns kuwashawishi watu wahamie kwenu. Upompo mtupu.
Mnahangaikia nini kumbe ni wezi wa kubwa wa Jirushe yenu ya tsh 1900 kwa masaa manne kwa mchana mmoja. Kwa akili yenu mnafikiri ni nani mjinga wa kuongae masaa manne kwa kila siku. Upompo mtupu.
Angalieni mtandao makini wa wenye kufikiri vizuri wa Vodacom a.k.a Kazi n kwako walivoigawa Chekatime yao. Iko mpaka ya tsh 150. Kudadaki, hawa ndo wanaume bwana,Maneno kidogo matendo kibao.
Kama huamini wee bonyeza *149*01# kwenye Vodacom ujionee wanaume wanaojua kujipanga. Wee baki na makelele ya hamia huku nanilii na huku wenzako wanakwambia Kazi n kwako.

unaongelea zile cheka za kujiunga usiku wa manane?
 
airlel wamekosa ubunifu kabisa airtel walichoweza ni 400mb kwa mwezi.vingine hakuna
 
ha ha ha ha....dah haya mwanawane...unaujuzi kwenye sector ya masoko uko fit, unaweza kushawishi!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom