Msaada airtel | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada airtel

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Wikiliki, Mar 16, 2012.

 1. Wikiliki

  Wikiliki JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wadau wa humu JF ninaomba msaada wa kuweka kifurushi cha mwezi kwenye moderm ya airtel maana zamani ulikuwa unatuma neno intaneti na unajibiwaujibu ndio na ukikubali unaunganishwa kwa shilingi elfu mbili na mia tano. Asanteni
   
 2. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 442
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Piga *154*44# utapata maelezo ya jinsi ya kujiunga kwenye kifurushi hicho.
   
 3. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  tumia utaratibu uleule wa mwanzo bila kutuma neno ndiyo mambo yanakuwa shwari tu.
  Tuma neno "internet" kwenda 15444. Enjoy
   
Loading...