Tbc na taarifa ya habari kama documentary | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tbc na taarifa ya habari kama documentary

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lukansola, Mar 16, 2012.

 1. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Hebu niambieni nyie TBC, matangazo yenu ya habari ya saa mbili usiku huwa ni nini hasa, documentary, makala, tahariri, majaribio au nini,

  Jana nilikuwa naangalia matangazo hayo ambayo wao huyaita taarifa ya habari, sijui kama nitaweza kueleweka vizuri kwa maelezo ya maandishi, lakini kwa wanaoangalia au walioangalia wanaweza kunielewa bila shaka.

  yaani taarifa ya habari haina tofauti na FUTUHI, huu mtindo wenu kama ndo ubunifu basi naombeni niwape honest feedback, hauvitii hata kidogo, tangazeni habari kama kawaida tu na mtaeleweka. halafu pia huu mtindo wa kusoma habari moja kwa kupokezanapokezana naona pia kama unaboa, maana wakati mwingine inapita sekunde kadhaa kukiwa na ukimya tu, mnaonekana kama watu mnaolazimisha fani, yaanio ni kama mtu anayelazimishwa kutabasamu wakati akiwa na majonzi.

  Na la mwisho naagiza mtoe majibu hapa, nina hakika mmo humu, nimechoka na mambo ya kutoa maoni halafu yasifanyiwe kazi.

  Kwa mfano toka tumkataze George Maratu kuvuuuuuuuuuuuuuuuta sauti yake bado hajaacha.

  Asanteni
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  George Maratu yupo tbc? Hawa jamaa kweli wanaboa..
   
 3. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,535
  Likes Received: 10,453
  Trophy Points: 280
  maratu anahusikaje na tbc?
   
 4. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Tido Mhando tutakukumbuka daima.
   
Loading...