Bendera za CHADEMA wapi?

Bendera za CHADEMA wapi?

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
5,122
Reaction score
9,223
Wadau naomba kujuzwa ni wapi naweza pata bendera za CDM kama tano hivi zile kubwa tunataka kufunga kwenye vijitawi vyetu kwani bendera za magamba zinatukera sanaaaaa.

Bendera hizo ni kwaajiri ya mwenge,mpakan na salasala.
Msaada wenu wakuu
 
Back
Top Bottom