Bwana Jairo na Ngeleja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bwana Jairo na Ngeleja

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nelkon, Mar 11, 2012.

 1. N

  Nelkon Member

  #1
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi sakata lao limeishia wapi? Au ndo msamaha wa Baba Mwanaasha umepita?:cool2:
   
 2. M

  Makupa JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mkuu baba Mwanaasha ni nani huyo
   
 3. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kwani unawadai?:A S 13:
   
 4. N

  Nelkon Member

  #4
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watanzania wanawadai!, nadhani we Sio mtz ndo maana haufuatilii mambo ya nchi yako hasa kwa viongozi mazembe!:crazy:
   
 5. N

  Nelkon Member

  #5
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mheshimiwa Jk
   
 6. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jairo yuko kinambeu, kiomboi ngeleja waulize tanesco atakuwa nao.
   
 7. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  Iyo iko wazi hatuwadai na hakuna kesi, hujui nchi yetu imegubikwa na ufisadi wa kutisha ata kwa kipindi iki ni ujanja na umaarufu kufanya ufisadi , natumai wajua hakuna hata ripoti moja ya cag ilofanyiwa kazi iyo, majuzi mkurugenzi ikerege wa tbs madudu yake si umeona, imebidi yamefumbiwa macho kwani serikalini hakuna msafi hata inakuwa ngumu kumuwajibisha yeyote, maneno ya profesa mahalu umeyasikia akimtaja mkuu wa kaya kuwamo kt ile kesi yake ya ubalozi wa italia, ndugu nadhani dawa ni kubadilisha chama madarakani kwani ccm imekuwa noti mbele ndo na sera yao ni iyo, ni kwamba wezi wako bize wakiiba kila mtu kt ccm mwizi, tusahau mustakabali mwema under such magamba wa ccm pia mafisadi, pia wana arumeru watakaomchagua siyoi, wanadhani uyu siyoi kuna siku atahoji lolote juu ya fisadi el wakati kampa mwanae awe kiburudisho, zaidi naye ataanza kutuibia tu, jamani tuchukue hatua taifa linateketea
   
 8. l

  lemikaoforo Member

  #8
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unajua kwanini hajazungumza lolote kuhusu Jairo?wajomba zake na jairo watamtoa macho baba mwanaasha Na subiri utackia kapewa ubalozi,mwenye dada hakosi shemeji,
   
 9. N

  Nelkon Member

  #9
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli hiyo kali mkuu!
   
Loading...