Mtoto kiume wa Lowassa aandaliwa kuchukua jimbo la Monduli

Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
17,369
33,015
Tetesi ambazo nimezipata toka chanzo cha ndani cha familia ya Mh. Lowasa ni kuwa Waziri Mkuu huyo mstaafu anapendelea mwanye mkubwa wa kiume ndiye amrithi kiti cha ubunge kwa jimbo la Monduli mwaka 2015 maana yeye kwa sasa ana uhakikia atapitishwa na NEC ya CCM kuwania nafasi ya urais wa JMT mwaka 2015 kupitia chama hicho kikongwe nchini.

Habari zaidi zinasema kiti cha ubunge cha Arumeru Mashariki ambako Mkwe wa Lowasa Bw. Sioi Sumari anagombea kinachukuliwa kama kipimo na waziri mkuu huyo mstaafu katika kupima nguvu alizonazo ndani ya CCM.

Chanzo: Watu wa karibu wa waziri mkuu huyo mstaafu
 
Tunawatakia kila la heri, hata huku kwetu mwanelumango aanze tu kuandaa mtu wake
 
Tetesi ambazo nimezipata toka chanzo cha ndani cha familia ya Mh. Lowasa ni kuwa Waziri Mkuu huyo mstaafu anapendelea mwanye mkubwa wa kiume ndiye amrithi kiti cha ubunge kwa jimbo la Monduli mwaka 2015 maana yeye kwa sasa ana uhakikia atapitishwa na NEC ya CCM kuwania nafasi ya urais wa JMT mwaka 2015 kupitia chama hicho kikongwe nchini.

Habari zaidi zinasema kiti cha ubunge cha Arumeru Mashariki ambako Mkwe wa Lowasa Bw. Sioi Sumari anagombea kinachukuliwa kama kipimo na waziri mkuu huyo mstaafu katika kupima nguvu alizonazo ndani ya CCM.

Chanzo: Watu wa karibu wa waziri mkuu huyo mstaafu
Hoja ni je ana sifa na vigezo huyo mtoto?. Lowassa ni president wetu 2015.
 
Watoto wa Marehemu Edward Moringe Sokoine wako wapi?

Ama siku hizi uongozi hapa Tanzania ni wa kupokezana kama koo ya Kisultani?
Ama kweli magamba hawana tena fikira ya ufahamu.

Ngoja tumwombe MUNGU atupe uzima na tuone tetesi hizi.
 
Tetesi ambazo nimezipata toka chanzo cha ndani cha familia ya Mh. Lowasa ni kuwa Waziri Mkuu huyo mstaafu anapendelea mwanye mkubwa wa kiume ndiye amrithi kiti cha ubunge kwa jimbo la Monduli mwaka 2015 maana yeye kwa sasa ana uhakikia atapitishwa na NEC ya CCM kuwania nafasi ya urais wa JMT mwaka 2015 kupitia chama hicho kikongwe nchini.

Habari zaidi zinasema kiti cha ubunge cha Arumeru Mashariki ambako Mkwe wa Lowasa Bw. Sioi Sumari anagombea kinachukuliwa kama kipimo na waziri mkuu huyo mstaafu katika kupima nguvu alizonazo ndani ya CCM.

Chanzo: Watu wa karibu wa waziri mkuu huyo mstaafu

Tetesi zako zina walakini

Lowassa hawezi kupima nguvu yake kwenye ubunge!!

he is a king maker is the one who made Kikwete and is the one who will break Kikwete
 
Itabidi wagombee baba na mwana jimbo la Monduli. Mvombea wa CCM kwa mwaka 2015 hawezi kjwa EL kamwe. Ila kama anakubali kuwa afya yake ni mbaya kwa kama tunavyomuona then mwanaye akipenda itabidi ajitose.
 
Tetesi ambazo nimezipata toka chanzo cha ndani cha familia ya Mh. Lowasa ni kuwa Waziri Mkuu huyo mstaafu anapendelea mwanye mkubwa wa kiume ndiye amrithi kiti cha ubunge kwa jimbo la Monduli mwaka 2015 maana yeye kwa sasa ana uhakikia atapitishwa na NEC ya CCM kuwania nafasi ya urais wa JMT mwaka 2015 kupitia chama hicho kikongwe nchini.

Habari zaidi zinasema kiti cha ubunge cha Arumeru Mashariki ambako Mkwe wa Lowasa Bw. Sioi Sumari anagombea kinachukuliwa kama kipimo na waziri mkuu huyo mstaafu katika kupima nguvu alizonazo ndani ya CCM.

Chanzo: Watu wa karibu wa waziri mkuu huyo mstaafu

Jamani ivi ni waziri mkuu aliyestaafu? Au waziri aliyejiuzulu?

Bado inanipa wasiwasi kama kweli kipindi cha kushikilia uwaziri mkuu ni miaka mitatu.
Nadhani ingekuwa vizuri kama mods watarekebisha thread hii ili kutoa obwe la waaminio LA amestaafu na si alijiuzulu kwa kashfa.
 
Watoto wa Marehemu Edward Moringe Sokoine wako wapi?

Ama siku hizi uongozi hapa Tanzania ni wa kupokezana kama koo ya Kisultani?
Ama kweli magamba hawana tena fikira ya ufahamu.

Ngoja tumwombe MUNGU atupe uzima na tuone tetesi hizi.

wapo mkuu . Joseph yule msaidizi wa balozi canada anakuja kupambana na lema 2015 .
 
Lowasa mwenyewe amechoooka, tembea yenye migulu pande mikono inamtetemeka, macho yamedhoofu, maradhi kila kona, wasio na wanaokulaga kilichopo ndo watamchagua.
 
Back
Top Bottom